SimonayTz

SimonayTz OFFICIAL MY PAGE PLEASE 🙏
/WALE WAPENZI WA MOVIE KALI AINA ZOTE
SERIES
SINGLE
CARTOON

WHATSAPP NO 0761542021

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Onesmo Raymond Isack, Eddy P Xhj, Eddyson Mshua, Pozey Paul, Man Kit...
22/07/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Onesmo Raymond Isack, Eddy P Xhj, Eddyson Mshua, Pozey Paul, Man Kitotola

🚨 DEAL DONE ✅ Klabu ya Simba imekamilisha Usajili wa Kiungo wa Senegal Alassane Kante` maarufu k**a 'Iniesta' mwenye Umr...
22/07/2025

🚨 DEAL DONE ✅

Klabu ya Simba imekamilisha Usajili wa Kiungo wa Senegal Alassane Kante` maarufu k**a 'Iniesta' mwenye Umri wa miaka 24 Kutoka Klabu ya CA Bizertin ya Nchini Tunisia.

Kila kitu Kimekamilika na mchezaji Anatarajiwa kuwasili Tanzania Kesho Jioni Baada ya kucheza Mchezo wa kuagwa kwa heshima ya Kuondoka kwake.

Kante` mwenye Uwezo Mkubwa wa kucheza Nafasi ya Kiungo wa Dimba la Kati na mwenye Ufundi wa kulisakata soka

Kwa sasa hakuna mahusiano mazuri baina ya Carlos Mastermind (Pichani) ambae ni msimamizi wa Wachezaji na Viongozi wa Sim...
20/07/2025

Kwa sasa hakuna mahusiano mazuri baina ya Carlos Mastermind (Pichani) ambae ni msimamizi wa Wachezaji na Viongozi wa Simba

Hii ndio sababu mara zote Simba inapata ugumu kukamilisha dili za baadhi ya Wachezaji wanaosimamiwa na Carlos

Kwa Pamoja Uongozi wa Simba umekubaliana kuachana na wachezaji wote wanaosimamiwa na Carlos Mastermind

Pale Simba Carlos alikua anasimamia wachezaji watatu

-Mohammed Hussein
-Hussein Kazi
-Kibu Denis

Simba walimwambia Nahodha Mohammed Hussein aachane na Msimamizi wake ili wampe hela anayotaka asaini mkataba mpya lakini Nahodha alikataa kuachana na Carlos akachagua kuondoka

Simba imeshaachana na Hussein Kazi

Simba pia ipo tayari kumuuza Kibu Denis kwenda MC Alger, Mpango ni kuanza maisha mapya bila mchezaji yeyote wa Carlos Mastermind ambae anatajwa kua na mahusiano ya karibu na upande wa Pili

Asante Debora Fernandes Mavambo. Taarifa zaidi ingia Simba App.
19/07/2025

Asante Debora Fernandes Mavambo. Taarifa zaidi ingia Simba App.

Aliyekuwa nahodha wa klabu ya Simba Sc Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) ameaga rasmi klabu hiyo baada ya mkataba wake kumaliz...
19/07/2025

Aliyekuwa nahodha wa klabu ya Simba Sc Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) ameaga rasmi klabu hiyo baada ya mkataba wake kumalizika na kutokuongezwa ambapo Kupitia ujumbe aliouandika katika ukurasa wake Mohamed ameushukuru uongozi, benchi la ufundi, Wafanyakazi wa klabu na Mashabiki wa Simba Sc kwa sapoti waliompa kwa kipindi chote alichoitumikia timu hiyo kwa takribani miaka 11.

Katika ujumbe wake Mohamed Hussein alieleza kuwa maamuzi ya kuondoka Simba SC yamelenga maendeleo na maslahi yake binafsi pamoja na kukuza weledi wake wa soka ambapo amesisitiza kuwa kuipigania nembo ya Simba Sc kulikuwa ni heshima kubwa kwake.

Huku akiaga rasmi tetesi zimeanza kuzagaa kwamba beki huyo mahiri yupo mbioni kujiunga na Yanga SC, wapinzani wakubwa wa jadi wa Simba ingawa bado hakuna taarifa rasmi kutoka klabu husika, Mashabiki na Wachambuzi wa soka wanaendelea kufuatilia kwa karibu mustakabali wa nyota huyo.

🚨THANKYOU INONGAWAARABU WAMEMPIGA CHINI HENOCK INONGA BAKA
15/07/2025

🚨THANKYOU INONGA

WAARABU WAMEMPIGA CHINI
HENOCK INONGA BAKA

“Kuanzia mwaka 2018 hadi leo nimewekeza shilingi Bilioni 45 kwa ajili ya mishahara, usajili, maandalizi ya Timu na mahit...
15/07/2025

“Kuanzia mwaka 2018 hadi leo nimewekeza shilingi Bilioni 45 kwa ajili ya mishahara, usajili, maandalizi ya Timu na mahitaji mengine ya uendeshaji, pia nimechangia shilingi Bilioni 20 k**a sehemu ya ununuzi wa hisa asilimia 49 ndani ya Simba Sports Club na mara nyingi nimekuwa nikitoa msaada nje ya mfumo rasmi, kila palipojitokeza uhitaji wa dharura kuanzia mwaka 2017 hadi 2024 nimetumia takribani Bilioni 22 katika misaada ya dharura hivyo kufanya jumla ya mchango wangu kwa Simba kufikia shilingi Bilioni 87 hivyo kusema Mo hatoe hela ni kauli ya kupotosha yenye mwelekeo wa chuki, tuachane na fitna zisizo na msingi, tujenge palipotoboka, tuzibe ufa panapovuja na tusonge mbele bila kuonyeshana vidole” ——— Mohammed Dewji, Mwekezaji na Rais wa heshima wa Simba Sports Club.

Klabu ya Simba imempa mkono wa kwa heri Fabrice Ngoma
12/07/2025

Klabu ya Simba imempa mkono wa kwa heri Fabrice Ngoma

KIBU DENIS 🍿🌟
12/07/2025

KIBU DENIS 🍿🌟

🚨🇹🇿Simba App imethibitisha Kiungo Omary Omary amerejea Mashujaa FC kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja
12/07/2025

🚨🇹🇿Simba App imethibitisha Kiungo Omary Omary amerejea Mashujaa FC kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja

KILA KHERI HUSSEIN KAZI Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Yohana Elias Makoja, Cityhunter Kim, Abdalla...
12/07/2025

KILA KHERI HUSSEIN KAZI
Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Yohana Elias Makoja, Cityhunter Kim, Abdallah Machella, Mohamed Said, Matola Abdulhaziz, Junior De Najum, Zumbe Shemkai, Matalu Mat, Hashim Hancy, Hanafi Saburi, Kepha Ntenga, Kassim H. Hussein, Muhammed Ally, Abdul Chuti, Mchinja Muhamad, Salum Abdallah, Mrumbi Mrumbi, Dukulai Dukulai, Raymond Mkumbo, Maderi Yohana Soinda, Îbu Smart Boe, Peter Mwananchi, Deus Rwegasira, Cosmas Nassary, Njemba Said, Paschal Luhinda, Mar Liverpool, Lily Ommy, Mc SamakiTz, Mduguro Cosmas, Gerald Evarest, Aloyce Emilio Jr., Mohamedi Bakari, Polya Kulwa Jiduma, Emanuel Jp, Fred Fred, Anduress Asikarela

_SHABIKI wa Simba na Msanii, Tunda Man ameutaka uongozi wa Klabu ya Simba kuwa kabla ya kuanza kufanya usajili wanapaswa...
09/07/2025

_SHABIKI wa Simba na Msanii, Tunda Man ameutaka uongozi wa Klabu ya Simba kuwa kabla ya kuanza kufanya usajili wanapaswa kuwatoa kwanza viongozi wabovu waliopo pale na amesema k**a watashindwa kuwatoa yeye yupo tayari kuanzisha maandamano ya amani ili kuwatoa viongozi hao....

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SimonayTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SimonayTz:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share