15/01/2025
Bei ya offer 8,5000/= Tu! Whatsapp: 0628 989 690
Hii ni X50 smart watch🔥 Iliyo na Combo ya Smart Watch 3 na Mikanda 13 yenye Aina na Rangi tofauti tofauti, Wireless Charger 2, Finger counter 1 na Pen Moja Utakayotumia kwenye Tablet au Smart Phone inayosapoti Pen.
Hizi ni SMART WATCH (SAA JANJA) ZInazopokea sms za kawaida na Whatsapp.
Zinapokea Notification za instagram na Facebook
Kwa Kuunganisha na Simu Yako Zinapigia na Kupokea Simu.
Zinaunganisha Simu za i phone na android
Bluetooth unaweza unganisha na simu.
Ziko na SENSOR MONITORING zinahesabu hatua na mbali, pia zinapima blood pressure.
Zikoo na mikanda 13.
Inakuja na free nailcut 😎
Unaweka picha kwenye kioo.
Ziko na Wireless charger 2
Ni ceramic material
Zinasupport lugha nyingi
Zina full display yaan kioo kinajaa chote juu mpaka chini
Material: Alloy
FULL touch display
weka order Yako Sasa, Kwa wakazi wa Dar free Delivery, Wateja wa Mikoani tunatuma MIZIGO mikoa yote, Utalipia Baada ya kupokea mzigo wako kwa Wakala wetu.
Asante kuchagua huduma zetu.