Gospel Media Africa

Gospel Media Africa | Gospel Channel In Africa | Hub For Gospel Artist In Africa | Kindly, Subscribe, Like, Comment And Share Widely.

GROUP LA WHATS APP πŸ‘‡ INGIA HAPA

https://whatsapp.com/channel/0029VbAUU60FCCoY86OsjY14

22/08/2026

"Binti unataka kuolewa? Anza na muonekano wako, anza na Nywele zako..." Anasema Pastor George Makabwa
Cc Frank Peter

20/08/2026

"......Ni rafiki yangu na Nina number yake lakini hatujawasiliana nae kwa muda mrefu sana na anataka nimchangie, nifanyeje??!
Swali kutoka kwa Muimbaji wa nyimbo za injili & Mtumishi wa Mungu
Nini maoni yako? Tuandikie kupitia comment section then follow
Cc

14/08/2026

Yes, Gospel Media Africa (GMA) tunawapongeza Pastor Masanja Mkandamizaji na mke wake Monica Fredrick Mgaya , kwa kutimiza miaka 11 ya ndoa. πŸŽ‰πŸ₯‚

Miaka 11 ya safari ya upendo, uvumilivu, kujifunza, kusimama pamoja na zaidi ya yote, kumshuhudia Mungu akiwa katikati ya ndoa yenu. πŸ™β€οΈ

Tunamshukuru Mungu kwa maisha yenu na tunawaombea miaka mingine mingi yenye upendo zaidi, neema zaidi, afya, furaha na kumtumikia Mungu pamoja.

πŸ“– β€œBasi walichounganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.” β€” Mathayo 19:6

Happy 11th Wedding Anniversary, Pastor Masanja & Monica! β€οΈπŸ’

Kutoka kwetu Gospel Media Africa (GMA) β€” tunawapenda, tunawaheshimu na tunawatakia mema katika safari yenu hii ya Ndoa inayo endelea. πŸ™βœ¨

11YearsOfMarriage ChristianMarriage GospelTanzania MarriageGoals

14/08/2026

Yes, Muimbaji wa Nyimbo za injili wa kimataifa wa Gospel kutoka Nigeria, 𝐌𝐨𝐬𝐞𝐬 𝐁π₯𝐒𝐬𝐬 sasa yupo Tanzania kwa ajili ya Afro Gospel Joy β€” usiku wa sifa, ibada na kumtukuza Mungu. 🎢πŸ”₯
πŸ“ Lugalo Golf Club, Dar es Salaam
πŸ“… Jumamosi, Agosti 15, 2026

Tanzania, are you ready? πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯
Moses Bliss is here! πŸ™ŒπŸ½β€οΈ
Follow Gospel Media Africa (GMA)
Cc Frank Peter

09/08/2026


Sasa inapatikana kwenye digital platforms zote.
Gusa link kwenye bio ya Mtumishi wa Mungu Goodluck Gozbert
Follow Gospel Media Africa (GMA)
Cc Frank Peter

08/08/2026

Yes, Mtumishi wa Mungu Lucy Natasha akiwa pamoja na Mume wake Stanley Saji Carmel Jumapili hii ya Tar. 09/08/2026 watahudumu katika kanisa la KINGDOM EMBASSY kwa Mtumishi wa Mungu Clear Malisa Dar es salaam.
follow Gospel Media Africa (GMA) na USIPANGE KUKOSA.
CC Frank Peter

07/08/2026

Wimbo huu sas unapatikana YouTube "UKIPENDWA NA MUNGU " Hekima Choir.
Follow Gospel Media Africa (GMA)
Cc Frank Peter

07/08/2026

Okay???
Follow Gospel Media Africa (GMA)
Cc Frank Peter

07/08/2026

GOSPEL SEBENE DAY NI LEO 🎹🎸πŸͺ˜πŸŽ€

​Zaburi 118: 24.

Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na kuifurahia.

​Kuna nafasi kwa ajili ya wafanyabiashara na watoahuduma bure bila malipo kuanzia asubuhi mpaka majogoo

β€‹πŸ“… 7 Agosti 2026

πŸ“ EACLC Ubungo, Stendi ya Zamani

πŸ•’ Ibada saa kuanzia 10 Jioni

🎟️ Kiingilio ni BURE

​Usikose, NJOO NA NJAA YAKO!
Follow Gospel Media Africa (GMA)

​

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gospel Media Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gospel Media Africa:

Shortcuts

Share