Wins Media

Wins Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wins Media, Media/News Company, Mikocheni/warioba, Dar es Salaam.

"Hivi wanawake wenzangu mnawezaje ku-cheat jamani? mbona mimi siwezi na nikijaribu tu nitafumwa, halafu nikisema ni-chea...
02/11/2023

"Hivi wanawake wenzangu mnawezaje ku-cheat jamani? mbona mimi siwezi na nikijaribu tu nitafumwa, halafu nikisema ni-cheat huwa najisikia vibaya kwenda kumvulia mtu mwingine,".

"Napenda kuwa na mmoja tusumbuane weeee tukiachana ndio nianze moja," - Staa wa filamu Bongo, Husna Sajenti.


"Nimemzidi Marioo miaka 13, ananiamkia Shkamoo mama, kwa kifupi yule mtoto ana heshima hata k**a angekuwa hana mahusiano...
02/11/2023

"Nimemzidi Marioo miaka 13, ananiamkia Shkamoo mama, kwa kifupi yule mtoto ana heshima hata k**a angekuwa hana mahusiano na Paula mimi ningeendelea kuwa shabiki yake kwasababu ana nidhamu binafsi na ya kipekee"- Kajala, Mwigizaji wa filamu Tanzania.


Msanii wa bongo flava Vanila kutoka label ya Kings Music inayomilikiwa na alikiba, ndani ya ubunifu ukiwa ni moja ya pro...
02/11/2023

Msanii wa bongo flava Vanila kutoka label ya Kings Music inayomilikiwa na alikiba, ndani ya ubunifu ukiwa ni moja ya project ya kazi yake.

Kwa huu ubunifu unampa asilimia ngapi vanilla?


RUBYNilipokua kwenye mahusiano na kusah, hakuwahi kunifiksha kileleni.
20/09/2023

RUBY

Nilipokua kwenye mahusiano na kusah, hakuwahi kunifiksha kileleni.


SIKUWAHI KUMSALITI DIAMONDMrembo Zari The Bosslady amesema katika uhusiano wake na Diamond Platnumz hakuwahi kumsaliti h...
20/09/2023

SIKUWAHI KUMSALITI DIAMOND

Mrembo Zari The Bosslady amesema katika uhusiano wake na Diamond Platnumz hakuwahi kumsaliti hata mara moja.

Zari ambaye amezaa watoto wawili na Diamond, amesema hakumsaliti kutokana alimpenda sana.


"Sina ndoa lakini sio kwamba sitaki kuolewa, nataka sana na akitokea mtu ambaye Mwenyezi Mungu atakuwa amembariki vijise...
17/09/2023

"Sina ndoa lakini sio kwamba sitaki kuolewa, nataka sana na akitokea mtu ambaye Mwenyezi Mungu atakuwa amembariki vijisenti tayari nitaolewa ila kwa sasa Jimbo halina mwenyewe"

🗣️Isha mashauzi


Harmorapa amepost picha hiyo na kueleza kuwa amepata mtoto wa k**e aliyempa jina la Husna huku akijivunia kuwa baba  "I ...
13/09/2023

Harmorapa amepost picha hiyo na kueleza kuwa amepata mtoto wa k**e aliyempa jina la Husna huku akijivunia kuwa baba

"I LOVE YUU MY DOUTER HUSNA❤🙏.AM PROUD OF YUU❤️🙏. YUA DADY LOVE YUU SO MUCH NAKUPENDA SAANA MWANANGU
CALL MI BABA HUSNA" -
✍️Harmorapa


Baada ya Kilichotokea kwa Mason Greenwood, kimempata nyota mwingine wa Manchester United amedaiwa kumshambulia mpenzi wa...
04/09/2023

Baada ya Kilichotokea kwa Mason Greenwood, kimempata nyota mwingine wa Manchester United amedaiwa kumshambulia mpenzi wake wa zamani alipokuwa mjamzito ikiwa ni pamoja na kumpiga kichwani na kumkata mkono hadi kwenye mfupa.

Winga Antony Santos anachunguzwa na mahak**a ya Mjini Sao Paulo huko Brazil kwa tuhuma za unyanyasaji wa nyumbani dhidi ya mpenzi wake wa zamani Gabriela Cavallin. 🇧🇷

Jarida la UOL la Brazil linaripoti kwamba imekuwa na ufikiaji wa picha, video, mazungumzo na ushuhuda kutoka kwa mashahidi ambao unaonyesha vitisho na mashambulizi ya kimwili kutoka kwa Antony.

Moja ya video za uchunguzi huo inaonyesha jeraha lililofichua mifupa ya vidole vya Gabriela.


Msanii wa muziki wa Injili Nchini, Emmanuel Mbasha leo alfajiri amevamiwa na kuchomwa visu kifuani na mtu ambaye hajafah...
02/09/2023

Msanii wa muziki wa Injili Nchini, Emmanuel Mbasha leo alfajiri amevamiwa na kuchomwa visu kifuani na mtu ambaye hajafahamika kisha kukimbizwa katika hospital ya Amana jijini Dar es Salaam.


  The African Popstar  amefunguka hakuna msanii wa k**e Tanzania anayemzidi kwa pesa, mali na uwekezaji."Mimi nipo level...
02/09/2023

The African Popstar amefunguka hakuna msanii wa k**e Tanzania anayemzidi kwa pesa, mali na uwekezaji.

"Mimi nipo level yangu, sidhani k**a kuna msanii yeyote wa k**e Tanzania na East Africa ananishinda kipesa japo hatuongei ila tukianza kutoa watu watambia. Ki hela, mali na uwekezaji" Nadia Mukami ameiambia

Challenge hii imeanza baada ya rapa Khaligraph Jones kuwadiss rappers wa Tanzania akisema HipHop ya Bongo imelala.


Club ya PAOK ya Ugiriki imetangaza rasmi kumsajili nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kwa M...
17/07/2023

Club ya PAOK ya Ugiriki imetangaza rasmi kumsajili nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kwa Mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Samatta amejiunga na PAOK baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja Mkataba wake na club ya Fenerbahce ya Uturuki ambayo alijiunga nayo 2020 akitokea Aston Villa kwa mkataba wa miaka minne.

Maamuzi hayo ya Samatta na Fenerbahce yamefikiwa baada ya Samatta kushindwa kupata nafasi na kuishia kutolewa kwa mkopo katika vilabu vya Antwerp na KRC Genk vya nchini Ubelgiji.


Kutoka mtandaoni
16/07/2023

Kutoka mtandaoni




Address

Mikocheni/warioba
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wins Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share