01/04/2026
Squat ni mfalme wa mazoezi ya mwili mzima πͺ
Faida zake:
βοΈ Huongeza nguvu ya miguu na core
βοΈ Hujenga misuli kwa haraka
βοΈ Huchoma mafuta kwa ufanisi
Mabibo Fitness tunakufundisha kwa uangalizi wa karibu (coaching), kuhakikisha unafanya squat kwa form sahihi ili kupata matokeo bila majeraha.
π Mabibo Mzambarauni
π 0742107555