
27/02/2024
"Kuelekea mchezo wa CR Belouizdad huwezi kuacha kutambua mchango mkubwa wa mashabiki ambao walihusika kuanzia maandalizi ya Hamasa ya Pacome Day, Nchi nzima ilimeremeta bleach ikiwa lengo la kumuunga mkono na kuheshimisha mchezo".
"Hili bleach nilizimia nalo na kuzinduka nalo, na kwa heshima ya Pacome nitakwenda nalo Misri. Hivyo wananchi msiwe na haraka ya kufuta bleach endeleeni kushangilia na waarabu wajiandae k**a wamejiandaa kumkaba Pacome, watakutana na Pacome wengi sana kwa sababu bado wachezaji wetu wanalo. Ali Kamwe