DJUMA TV

DJUMA TV Ukurasa rasimi wa DJUMA TV karibu tupashane Habari Mbali Mbali | Kwa Matukio na Taarifa tupigie +255 684 692 584

02/08/2026

“Wakati Tunasherehekea Ubingwa Kombe letu la Ngao ya Jamii 2025 liliibiwa lakini tumewasiliana na aliyetengeneza atutengenezee tupewe K**a replacement”

Jamani Rudisheni Kombe 😂😂

02/08/2026

“Wakati tunaingia Madarakani hatukukuta hata Hati Moja ya Mali za Yangasc Pamoja nakuwa na Maeneo Mengi lakini kwa muda wa Miaka 3 tumefanikiwa kupata hati zote za Mali za Yangasc kwa Maana ya JANGWANI, KIGAMBONI na JENGO LA MAFIA KARIAKOO”

Eng. Hersi Said Rais wa Yangasc

02/08/2026

Shangwe la Wanachama wa Yangasc baada ya Mjumbe Mpya wa Baraza la Wadhamini Mh. Ridhiwani Kikwete kuwasili Kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Yangasc

02/08/2026
02/08/2026

K**a ulikuwa unauliza Transformation ya yangasc imefikia wapi Rais wa Yangasc Hersi Said ameliweka wazi swala la Transformation nakusema kuwa “Tutafungua Kampuni itakayo milikiwa na Yangasc kwa Asilimia 100 Kampuni hii itahusika kuendesha Club yetu Pamoja na Kuuza Shea hapo ndio tutakuwa tumefika Mwisho wa Transformation”

02/08/2026

Msanii Zuchu akiwa na Mumewake Diamond Platnumz akifanya Mazoezi Mepesi baada ya Kujifungua Mtoto wa K**e

02/08/2026

Mh. Riziwani Kikwete ametambulishwa kuwa Mjumbe Mpya wa Baraza la wadhamini la Yangasc Mh. Riziwani Kikwete anachukua nafasi ya Mh. Mwigulu Nchemba ambaye ameomba kujitoa kwa sababu ya Kuwa na Majukumu Mengi ya kiutendji katika nafasi yake ya Uwaziri Mkuu wa Tanzania

02/08/2026

Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam ni Mwananchi baada ya Kukabidhiwa Card ya Uanachama wa Yangasc

Neno Moja kwa Albert Chalamila Shalulile

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
+255

Telephone

+255684692584

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJUMA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category