Mange kimambi

Mange kimambi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mange kimambi, News & Media Website, Dar es Salaam.
(1)

Je hii ni Sawa kwa watumishi wa Mungu?
03/02/2025

Je hii ni Sawa kwa watumishi wa Mungu?

Eti nikabila gani niwachafu sana?
03/02/2025

Eti nikabila gani niwachafu sana?

Soon somo la kiarabu linaanza wanafunzi mjipange
03/02/2025

Soon somo la kiarabu linaanza wanafunzi mjipange

Je nikweli wanawake sikuhizi hawapendi mtu wanapenda pesa yake tu?
03/02/2025

Je nikweli wanawake sikuhizi hawapendi mtu wanapenda pesa yake tu?

Nimekosa penalty sababu ni viatu
01/02/2025

Nimekosa penalty sababu ni viatu

Diamond Platinumz.. Tutamkumbuka si tu kwa muziki wake mzuri.. Ila kwa kutuletea Wasanii wakubwa kwenye muziki wetu.. Mb...
01/02/2025

Diamond Platinumz.. Tutamkumbuka si tu kwa muziki wake mzuri.. Ila kwa kutuletea Wasanii wakubwa kwenye muziki wetu.. Mbosso naye anaenda kuanza maisha nje ya WCB Sasa.. All the best kwake

Ex husband wa mtangazaji Diva the bawse, Sheikh Abdulrazak salum akiwa kwenye maojiano na Mwandishi wa habari alisema "M...
01/02/2025

Ex husband wa mtangazaji Diva the bawse, Sheikh Abdulrazak salum akiwa kwenye maojiano na Mwandishi wa habari alisema "Mwanaume yeyote mwenye ndoto za kufika mbali lazima awe na mwanamke mwenye kumjua Mungu na kwasasa ukitaka kumpata mwanamke mwenye hofu ya Mungu tafuta hawa watoto wa 2000 maana hawana dhambi kabisa, ila mibibi ina dhambi sana" Alimalizia Sheikh😁🙌

Dada Mange naomba unipost dadaangu nimechoshwa na mahusiano, nataka mwanaume alie tayari kuoa. Nina miaka 27 nahitaji mw...
01/02/2025

Dada Mange naomba unipost dadaangu nimechoshwa na mahusiano, nataka mwanaume alie tayari kuoa. Nina miaka 27 nahitaji mwanaume wa miaka 37 mpaka 50, ninafanya kazi Bank 🏦 asiogope akahisi nitakuwa mzigo kwake maana mimi nina kipato changu, nahitaji mapenzi ya kweli tu na ndoa

Taja sifa moja ya mshangazi😍
01/02/2025

Taja sifa moja ya mshangazi😍

Kwanini ukiachana na ex wako anazidi kupendeza? Mjibuni sepetu
31/01/2025

Kwanini ukiachana na ex wako anazidi kupendeza? Mjibuni sepetu

Angekaa madarakani miaka 10 unahisi Tanzania 🇹🇿 ingekuwa wapi?
31/01/2025

Angekaa madarakani miaka 10 unahisi Tanzania 🇹🇿 ingekuwa wapi?

Staa wa filamu Irene Uwoya amefunguka kuwa huwa anashangaa sana wakizungumzia wokovu wake kwa kulinganisha na maisha ali...
30/01/2025

Staa wa filamu Irene Uwoya amefunguka kuwa huwa anashangaa sana wakizungumzia wokovu wake kwa kulinganisha na maisha aliyokuwa anaishi kabla.

"Nimesikia sauti ya bwana ikiniita ndani yangu hivyo siwezi kuumiza kichwa kwa watu wasiokuwa na umuhimu kwangu, Nimeitwa na yesu na sio nyie na nitamtumikia daima"- amelisema Irene Uwoya

Socialmedia: Wadau mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii wamemtaka "wamemshauri" msanii Anjella Kuchoma Moto 🔥 Gari aliy...
30/01/2025

Socialmedia: Wadau mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii wamemtaka "wamemshauri" msanii Anjella Kuchoma Moto 🔥 Gari aliyopewa K**a zawadi na msanii Zuchu K**a anataka nyota yake in’gae, K**a Hapo awali... Je ni ushauri sahihi kutoka kwa wadau >> Anjella 🤔 !? Weka comment yako Hapa.

Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Ta...
30/01/2025

Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.
Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja 🤣🤣🤣Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. 🤣🤣🤣🤣🤣… Siwezi guswa na mtu mimi.-

Ameandika msanii  kupitia ukirasa wake "MIMI SIYO MGANGA ILA NAWEZA KUTABIRI KUNA KIONGOZI ATATUMBULIWA KABLA YA IJUMAA ...
30/01/2025

Ameandika msanii kupitia ukirasa wake
"MIMI SIYO MGANGA ILA NAWEZA KUTABIRI KUNA KIONGOZI ATATUMBULIWA KABLA YA IJUMAA 😎 "

Je unahisi ni Kiongozi gani anayemzungumzia Baba Levo ? Na baba levo ninani mpaka ajue

Hamisa Mobetto akija kusema tena kuwa Aziz Ki ni Rafiki yake tu, tutampiga mawe 👇
30/01/2025

Hamisa Mobetto akija kusema tena kuwa Aziz Ki ni Rafiki yake tu, tutampiga mawe 👇

Baada ya mwaka wa kwanza kuingia kwenye ndoa niliifurahia sanaaa ndoa yangu  kulingana  nilikuwa  nikipewa haki yangu ya...
30/01/2025

Baada ya mwaka wa kwanza kuingia kwenye ndoa niliifurahia sanaaa ndoa yangu kulingana nilikuwa nikipewa haki yangu ya ndoa vizuri sanaa..

Jambo lililo fanya niendelee Kufurahia maisha ya ndoa na nizidi kumpenda mume wangu...

Baada ya mwaka huo kupita maisha yalianza kubadilika kulingana na performance ya mume wangu kitandani kupungua siku hadi siku jambo ambalo lilinifanya nikaumiza sana akili yangu😭😭 kiukweli...

Nikahisi labda mume wangu Ana mwanamke mwingine nje ambae anafanya nae tendo ile hali sikuifurahia nikamchukia sanaa mume waang...

Ikafika mahali hana ham kabisa na mm nikihitaji haki yangu anaenda bao moja tena sekunde kadhaa tu yaani k**a kuku lilejambo lili niumiza😭😭😭 sana...

Sikuifurahia ile hali ilinifanya nikae chini na mume wangu nimuulize kwanini anakuwa vile kiukweli mume wangu alikuwa anatumia sanaa pombe kali jambo ambalo lili muathili zaidi nikamuuliza akaniambia pia wakati wa

barehe Ali wahi kujihusisha na punyeto[kujichua] kiukweli majibu yale yaliniumiza sanaa ndipo nilipoamua kuchukua maamuzi ya kuanza kutafuta suluhisho...

Siku moja nikiwa mtandaoni Facebook basi nilikutana na makala moja Iliyoelezea Kwa Undani namna ya MAN NATURAL POWER ilivyosaidia wanaume zaidi ya 300 kutatua tatizo lao ndani ya siku 30...

baada ya Kumaliza kusoma makala hiyo mpaka mwisho na Kwa Umakini mkubwa niliwatafuta wale walioyochapisha makala Yao mtandaoni maana kuliku na namba zao za Simu ili kupata njia ya kutatua changamoto. Haiku rahisi ila nilimsimamia mpaka ak**aliza utaratibu mzima...

Kiukweli siwezi kuficha ila nafurahia sanaa tendo kwa sasa na maisha yanakwenda poa sanaa...

Nikaona siyo mbaya niweze kushare na nyinyi ili k**a kuna mtu anatatizo aweze kusaidiwa haraka zaidi....

K**a na wewe unapitia changamoto k**a hiyo basi gusa link hapo chini ambayo utakupeleka kwenye group ili ujifunze namna ya kuondokana na chsngamoto hiyo

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mange kimambi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share