Oscar SvG

Oscar SvG Heaters make me famous🤪

Anaitwa Giana Abate ni mchezaji wa Genoa ya huko Italia apo alipo ana mimba ya miezi saba na bado anafanya mazoezi na an...
20/07/2025

Anaitwa Giana Abate ni mchezaji wa Genoa ya huko Italia apo alipo ana mimba ya miezi saba na bado anafanya mazoezi na anacheza mpira k**a kawaida

Mdada wa kibongo mimba ya miezi mitatu tu tayari awezi kukaa hawezi kusimama hawezi kupika

Kumekucha 💔
30/04/2025

Kumekucha 💔

Mliozaliwa mwaka 2000 niwakumbushe kuwa sahivi mna miaka 25 , mshakuwa watu wazima acheni kujiona watoto 🙄
15/04/2025

Mliozaliwa mwaka 2000 niwakumbushe kuwa sahivi mna miaka 25 , mshakuwa watu wazima acheni kujiona watoto 🙄

ALLAH AKUPE KAULI THABITI KIPENZI,  Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwa Mwenyezi Mungu tutarejea .🥹💔❤️🙏🏾Uyu dada kaj...
15/04/2025

ALLAH AKUPE KAULI THABITI KIPENZI, Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwa Mwenyezi Mungu tutarejea .🥹💔❤️🙏🏾

Uyu dada kajitahdi sana kwenye kupambania uhai wake ila ndo k**a ivyo

Nimelia sana
03/04/2025

Nimelia sana

Eid Mubarak watu wa Mungu
31/03/2025

Eid Mubarak watu wa Mungu

🥲🥲💔
09/03/2025

🥲🥲💔

Apa ni wapi 🎯
08/03/2025

Apa ni wapi 🎯

Haikai tumboni 😭💔
07/03/2025

Haikai tumboni 😭💔

Njoo inbox nikuelekeze jinsi ya kuingiza laki kila siku kupitia simu yako 😂😂😂
28/02/2025

Njoo inbox nikuelekeze jinsi ya kuingiza laki kila siku kupitia simu yako 😂😂😂

Kilichokuwa kinanipa stress baada ya kudokoa  mboga ni kushindwa kukumbuka mwiko ulikuw juu ya mfuniko au ndani ya sufur...
26/02/2025

Kilichokuwa kinanipa stress baada ya kudokoa mboga ni kushindwa kukumbuka mwiko ulikuw juu ya mfuniko au ndani ya sufuria 🥴🥴🥹

Love is beautiful when you found your other  half  💕
21/02/2025

Love is beautiful when you found your other half 💕

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oscar SvG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Oscar SvG:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share