Bongo Media

Bongo Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bongo Media, Digital creator, Dar es salaam, Dar es Salaam.

Anaitwa Hussein Lugendo, ni mume wa Shamsa Ford.Anatamba na tamthilia ya TUFANI akijulikana k**a EMILY.Anachukiwa na wen...
02/04/2025

Anaitwa Hussein Lugendo, ni mume wa Shamsa Ford.

Anatamba na tamthilia ya TUFANI akijulikana k**a EMILY.

Anachukiwa na wengi (kwenye TUFANI) ila niwahakikishie tu, siku akipotea huyo ndo siku tamthilia hiyo inaisha. No Emily no TUFANI.

Sema mwamba ana mibao k**a nyani dadeki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†

Hivi inakuaje Nanga inaizuia Meli kuondoka Wakati na Yenyewe inapakiwa kwenye Meli na ni Nyepesi kuliko Meli.??πŸ€”
14/08/2023

Hivi inakuaje Nanga inaizuia Meli kuondoka Wakati na Yenyewe inapakiwa kwenye Meli na ni Nyepesi kuliko Meli.??
πŸ€”

08/07/2023
Kikao Cha Kumsema Masawe Aache Pombe πŸ˜‚πŸ˜‚
22/05/2023

Kikao Cha Kumsema Masawe Aache Pombe πŸ˜‚πŸ˜‚

Baada ya kuukwaa umaarufu wa ghafla, Sinya atundika ubora wake mpya
21/05/2023

Baada ya kuukwaa umaarufu wa ghafla, Sinya atundika ubora wake mpya

20/05/2023

KIPI UFANYE K**A MWANAUME SIKU UNAPORUDI NYUMBANI MIKONO MITUPU πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wakati umefika mlangoni unavua viatu vilivofubaa

πŸ‘‰ "UKITAZAMA SURA ZAO(mke na watoto) UNAONA MATARAJIO NA IMANI YAO JUU YAKO. WANAAMINI HAKUNA GUMU MBELE YAKO KUMBE KUNA WAKATI UNAKUMBANA NA UGUMU MPAKA UNANYOOSHA MIKONO ILA UNAFICHA ILI KULINDA UANAUME WAKO"

πŸ‘‰ USHAURI WANGU
Ni muhimu mno kumjenga mkeo na watoto kwamba japokua wewe ni MPAMBANAJI ila mavuno yako yoote yanamtegemea MUNGU. Siku wakiona umekosa WASIKUDHARAU. WASIHISI UMEFANYA UZEMBE πŸ‘‰πŸ‘‰ MWENYEZI MUNGU ALIKADILIA SIKU HIYO KUA MIONGONI MWA SIKU ZA KUKOSA KATIKA MAISHA YAKO.

Kila la kheri katika jitihada WAPAMBANAJI

Sasa Unaingia Mkoa Wa .................
03/05/2023

Sasa Unaingia Mkoa Wa .................

INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭Pichani ni Rose Muhando alipoingia studio kwa mara ya kwanza kurekodi wimbo, Ikumbukwe Rose...
03/05/2023

INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭

Pichani ni Rose Muhando alipoingia studio kwa mara ya kwanza kurekodi wimbo, Ikumbukwe Rose Muhando ni kati ya wanawake wenye historia ya kusikitisha aliyetoka kwenye umaskini mkali na mateso ya kuwa single mother na kuhangaika na watoto mwenyewe

Mungu ni Mwema aliona tabu zake leo amekuwa maarufu na mwenye maishaπŸ™

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
12910

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share