SOKA Duniani_HEART tv

  • Home
  • SOKA Duniani_HEART tv

SOKA Duniani_HEART tv Soka DUNIANI_HEART TV. Sapoti yako ndio KITU pekee kwetu. ASANTE.

Ni ukurasa wa michezo ambao unajihusisha na HABARI,MATOKEO,USAJILI na tetesi zake pia MATUKIO ya kimpira ambayo hutokea ULIMWENGUNI hasa kwenye soka LA KIMATAIFA.

🎂 Heri ya siku ya kuzaliwa mshindi wa Ballon d'Or Mwaka 2003.! Tumerudi kivingine
30/08/2023

🎂 Heri ya siku ya kuzaliwa mshindi wa Ballon d'Or Mwaka 2003.!


Tumerudi kivingine

Tokea ujio wa Juan Laporta, Barcelona wamesajili wachezaji 12.
20/07/2022

Tokea ujio wa Juan Laporta, Barcelona wamesajili wachezaji 12.

Mathijis De Ligt ndani ya FC Bayern München.🔴🇳🇱
19/07/2022

Mathijis De Ligt ndani ya FC Bayern München.🔴🇳🇱

Joao Cancelo atavaa jezi namba 7 Manchester City.🔵
19/07/2022

Joao Cancelo atavaa jezi namba 7 Manchester City.🔵

Pona haraka Haller🙏Klabu ya Borussia Dortmund imetangaza kua Sebastian Haller amekutwa na ugonjwa wa Saratani ya Tezi du...
19/07/2022

Pona haraka Haller🙏

Klabu ya Borussia Dortmund imetangaza kua Sebastian Haller amekutwa na ugonjwa wa Saratani ya Tezi dume.

DEAL DONE☑️Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa Zinchenko kutoka Manchester City kwa ada ya Pauni Million 32.🇺🇦Makub...
18/07/2022

DEAL DONE☑️

Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa Zinchenko kutoka Manchester City kwa ada ya Pauni Million 32.🇺🇦

Makubaliano baina ya mchezaji na timu hayajawahi kua tatizo na Zinchenko anatamani kujiunga na aliekua kocha wake msaidizi.🔴

Vipimo vya Afya vitafanyika ndani ya wiki hii na atajiunga na kikosi cha Arsenal kilichopo Marekani.

{ David Ornstein

El Classico msimu ujao.🔥🔥
17/07/2022

El Classico msimu ujao.🔥🔥

Kitasa kimetua Chelsea.🔵🇸🇳Kalidou Koulibaly amejiunga na klabu ya Chelsea kwa mkataba wa miaka minne.|Chelsea.
16/07/2022

Kitasa kimetua Chelsea.🔵🇸🇳

Kalidou Koulibaly amejiunga na klabu ya Chelsea kwa mkataba wa miaka minne.

|Chelsea.

DEAL DONE☑️🇩🇪Robert Lewandowski atasaini mkataba na Barcelona wikiendi hii, vipengele binafsi tayari makubaliano yameafi...
16/07/2022

DEAL DONE☑️🇩🇪

Robert Lewandowski atasaini mkataba na Barcelona wikiendi hii, vipengele binafsi tayari makubaliano yameafikiwa tokea Mwezi wa Pili.

Bayern Munchen watapokea kiasi cha Euro Millioni 50 kutoka Barcelona.Lewandowski hakuhitaji timu nyengine yoyote zaidi ya Barcelona licha ya kutamaniwa na klabu k**a PSG na Chelsea.

|Fabrizio Romano

Hakuna muda wa kupoteza.Raheem Sterling akiwa mazoezini Chelsea Football Club 🔵
14/07/2022

Hakuna muda wa kupoteza.

Raheem Sterling akiwa mazoezini Chelsea Football Club 🔵

Ataendelea kua Nahodha wa klabu ya Manchester United kwa msimu unaofata, amethibitisha kocha wa klabu hiyo Erik Ten Haag...
11/07/2022

Ataendelea kua Nahodha wa klabu ya Manchester United kwa msimu unaofata, amethibitisha kocha wa klabu hiyo Erik Ten Haag.🔴

🚨🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Raheem Sterling kakamilasha vipimo vya Afya jana jijini London☑️Mkataba wake mpya unaisha mwaka 2027, kukiwa na ...
11/07/2022

🚨🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Raheem Sterling kakamilasha vipimo vya Afya jana jijini London☑️
Mkataba wake mpya unaisha mwaka 2027, kukiwa na kipengele cha msimu mmoja zaidi.☑️

Raheem Sterling ni mchezaji mpya wa Chelsea🔵

|Fabrizio Romano

Tottenham Hotspur dirisha hili la usajili mpaka sasa.• Perisic• Bissouma• Richarlison• Lenglet
09/07/2022

Tottenham Hotspur dirisha hili la usajili mpaka sasa.

• Perisic
• Bissouma
• Richarlison
• Lenglet

Mali mpya Juventus.🖤Angel Di maria 2️⃣2️⃣
09/07/2022

Mali mpya Juventus.🖤

Angel Di maria 2️⃣2️⃣

Jack Wilshere Astaafu soka, na hivi karibuni atatangazwa kuwa kocha wa Arsenal kwa timu ya Under 18.🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Kwaheri fundi...
08/07/2022

Jack Wilshere Astaafu soka, na hivi karibuni atatangazwa kuwa kocha wa Arsenal kwa timu ya Under 18.🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Kwaheri fundi👏

|Charles Watts

Nathan Ake amekubali makubaliano binafsi na klabu ya Chelsea.Manchester City wanahitaji kiasi cha pauni Millioni 40 mpak...
08/07/2022

Nathan Ake amekubali makubaliano binafsi na klabu ya Chelsea.Manchester City wanahitaji kiasi cha pauni Millioni 40 mpaka 45 ili wamuachie beki huyu.🔵

|Fabrizio Romano

🗣️Rio Ferdinand-"Cristiano hajui hata mwimbo wa Europa League unasikika vipi!"
07/07/2022

🗣️Rio Ferdinand-"Cristiano hajui hata mwimbo wa Europa League unasikika vipi!"

Bayern wapo tayari.🔴Klabu ya Bayern Munchen ina uhakika wa kupata saini ya beki wa Juventus Mathijis De ligt ambae anahi...
07/07/2022

Bayern wapo tayari.🔴

Klabu ya Bayern Munchen ina uhakika wa kupata saini ya beki wa Juventus Mathijis De ligt ambae anahitaji kuondoka kabla dirisha halijafungwa.🇳🇱

Juventus wanahitaji kiasi cha Euro Millioni 100 ili waweze kumruhusu beki huyo kuondoka na wakati mkataba wake unaonesha amebakiza miaka miwili na amekataa kuongeza mkataba kuendelea kusalia zaidi.

Moja ya klabu inayo gombania saini ya De Ligt ni Chelsea ambao wameondokewa na Rudiger pamoja na Andreas Christensen kwenye eneo lao la ulinzi. Ada ndio imekua kikwazo cha kumng'oa De ligt Juventus.

|90 Min.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SOKA Duniani_HEART tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SOKA Duniani_HEART tv:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share