Najma Collection

Najma Collection Washonaji na wauzaji wa mikoba ya Kiafrika na nyinginezo. Tunauza jumla na rejareja. Tunatuma popote Tanzania na nje ya nchi.

30/08/2025

This is not just a bag, it’s a *statement!* 🔥

Laptop yako nayo inahitaji nyumba yenye hadhi😍.

Laptop sleeve ya kitenge, no handles, no limits. Unaweza kuweka kwenye mkoba au kubeba mkononi.

Soft, simple, secure. Made with love 🇹🇿

📥 Orders open | 🖤 Support local

28/08/2025

🎒Mabegi si tu ya kubebea vitu, ni mtindo wa maisha.

Natoa huduma bora ya backpack zenye ubora wa hali ya juu, na ubunifu wa kipekee.

Unapovaa begi, hakikisha linakuwakilisha 🔥

🧵 Handmade na 💯 ubora
🛍️ Unahitaji lako? DM sasa!
📍Support biashara ya ndani — support ubunifu wa nyumbani 🇹🇿

11/08/2025

Asili yako hujengwa hujengwa na vitu hivyo. Vyote vikikuelezea bila hata kusema neno.

📍Tunapatikana Kigamboni, Kibada-Stendi ya Mwasonga

📞Wasiliana nasi call/WhatsApp 0718 82 82 94.

📦Delivery inapatikana ndani na nje ya Tanzania.

05/08/2025

Vifaa Bora vinazidisha kuhusu zako na kufanya lisilowezekana liwezekane.

Ni rahisi kufanya kazi vizuri na kwa ubora ukiwa na kifaa imara.

Hivyo tujifunze zaidi kuwekeza kwenye vifaa ili kupata matokeo mazuri zaidi. Na kurahisisha uzalishaji.

04/08/2025

Maarifa ni silaha inayoweza kubadilisha kesho yako. Na wakati mwingine sehemu nzuri ya kupata maarifa ni kujifunza kila leo bila kuchoka.

31/07/2025

Safari ya mafanikio inahitaji Imani, uvumilivu na hatua thabiti.

📍Tunapatikana Kigamboni, Kibada-Stendi ya Mwasonga

📞Wasiliana nasi call/WhatsApp 0718 82 82 94.

📦Delivery inapatikana ndani na nje ya Tanzania.

31/07/2025

Bei za Jumla
Largest Tshs. 15,000/=
Large Tshs. 12,000/=
Medium Tshs. 10,000/=
Small Tshs. 8,000/=
📍Tunapatikana Kigamboni, Kibada-Stendi ya Mwasonga

📞Wasiliana nasi call/WhatsApp 0718 82 82 94.

📦Delivery inapatikana ndani na nje ya Tanzania.

31/07/2025

Address

Kigamboni, Kibada
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Najma Collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Najma Collection:

Share