
27/08/2025
Happy birthday my love, my best friend, my partner na baba watoto wangu. Unapoanza huu mwaka mpya, nataka ujue kwamba wewe ni baba bora sana kwa mtoto wetu. Iβm so grateful to be sharing this beautiful journey of parenthood with you. Umekuwa mtu bora sana
ππ