tikibongo.tv

tikibongo.tv Welcome to the digital revolution of
News | Updates | Sports | Entertainment

01/06/2025
MAMA AZIZ KI HAMTAKI KABISA HAMISA_Baada ya tukio la utoaji wa mahali kwenda vizuri siku ya jana mambo mapya yanendea ku...
16/02/2025

MAMA AZIZ KI HAMTAKI KABISA HAMISA
_
Baada ya tukio la utoaji wa mahali kwenda vizuri siku ya jana mambo mapya yanendea kuibuka kubwa zaidi Mama mzazi wa Aziz Ki ameibuka na kudai kuwa hana taarifa kabisa kuhusu tukio la utoaji wa mahali linaloendelea jana.

Unaambiwa Mama Aziz Ki anataka Mwanae Aziz Ki amuoe mwanadada Vanessa Kashera na sio Hamisa Mobeto.

Toa maoni yako hapa___________________________








This page doesn’t support any kind of violence and I mean it since I followed up the community guidelines

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when tikibongo.tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share