Hussein Msume

Hussein Msume Tumewasha!!!!��������

Zawadi ya CHAN
02/08/2025

Zawadi ya CHAN

🚨 DEAL DONE: Kinda wa kimataifa wa Tanzania,Sabri Kondo (17) amejiunga na klabu ya ligi kuu ya Sweden 🇸🇪 BK Häcken.Awali...
02/08/2025

🚨 DEAL DONE: Kinda wa kimataifa wa Tanzania,Sabri Kondo (17) amejiunga na klabu ya ligi kuu ya Sweden 🇸🇪 BK Häcken.

Awali klabu hiyo ilimualika Kondo kwenye majaribio na baada ya kumtazama kwa kina wameridhishwa na kiwango chake hivyo wametoa €120,000 (tsh 361,632,000) kwenda Singida k**a ada ya uhamisho wake.

Msimu uliopita Kondo alicheza Coastal Union kwa mkopo akitokea Singida Black Stars.

K**a nilivyo ripoti siku kadhaa kwamba dili lake linakaribia kukamilika,hatimae leo kila kitu kumetimia kijana atacheza Sweden✅

Super 𝐌𝐕𝐏 Celestin anawasubiri wa dezo dezo Uwanjani.
01/08/2025

Super 𝐌𝐕𝐏 Celestin anawasubiri wa dezo dezo Uwanjani.


Kelvin John MBAPPE awa mchezaji bora wa mwezi july
01/08/2025

Kelvin John MBAPPE awa mchezaji bora wa mwezi july

01/08/2025
Thank you Aucho
30/07/2025

Thank you Aucho

🇿🇦 RUSHINE DE REUCK – BEKI MPYA WA SIMBA SC 🇹🇿Rushine De Reuck ni beki wa kati mwenye umri wa miaka 29 raia wa Afrika Ku...
29/07/2025

🇿🇦 RUSHINE DE REUCK – BEKI MPYA WA SIMBA SC 🇹🇿

Rushine De Reuck ni beki wa kati mwenye umri wa miaka 29 raia wa Afrika Kusini, aliyezaliwa Februari 1, 1996 mjini Cape Town. Alikulia katika mazingira magumu lakini hakukata tamaa, akapambana kupitia soka hadi kufika mbali.

Alianza soka katika ASD Academy, kisha akacheza Paços de Ferreira (Ureno), Hellenic FC, Maritzburg United, na kuibukia Mamelodi Sundowns, ambako alishinda mataji kadhaa ya Ligi Kuu ya PSL na kucheza CAF Champions League.

Kimataifa, De Reuck ameichezea Bafana Bafana na kushinda COSAFA Cup 2021 bila kuruhusu bao katika mechi zote alizocheza.

Mwaka 2025 amesajiliwa rasmi na Simba SC kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la kuongeza, akitarajiwa kuimarisha safu ya ulinzi kwenye Ligi Kuu na mashindano ya Afrika.

Sifa zake: Mtulivu akiwa na mpira, anapanga vizuri ulinzi, ana nguvu kwenye mpira wa juu na anaweza kucheza nafasi ya beki wa kulia au kiungo wa ulinzi.

Karibu Msimbazi Rushine! 🔴⚪

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255764291406

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hussein Msume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share