FastiKeti

FastiKeti Unatafuta tiketi ya basi? 🎟️
FastiKeti tupo hapa kukurahisishia safari yako Tanzania nzima 🇹🇿
Haraka, Rahisi, na Uhakika. Wasiliana nasi sasa!

19/05/2026
JIPATIE TIKETI YAKO YA BASI KWA UHAKIKA ZAIDI KUPITIA FASTIKETI! 🚌✨​Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kutumia huduma yet...
04/05/2026

JIPATIE TIKETI YAKO YA BASI KWA UHAKIKA ZAIDI KUPITIA FASTIKETI! 🚌✨

​Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kutumia huduma yetu ya kisasa ya kukata tiketi za mabasi kwa urahisi mkubwa popote ulipo. Tunakuunganisha na safari zako zote za mikoa mbalimbali ya Tanzania na nje ya nchi kwa:

​Haraka isiyo na usumbufu.

​Uhakika wa tiketi yako.

​Huduma ya kuaminika na ya kitaalamu.

​Urahisi wa kupata huduma kwa simu yako tu.

​Safari zako, jukumu letu. Tunahakikisha unafika salama na kwa wakati.

​Wasiliana nasi sasa kupata tiketi yako:

📞 Piga/WhatsApp: 0791880888

🚍 Ni nini muhimu zaidi kwenye safari ya basi?1️⃣ Comfort 😌2️⃣ Speed ⚡3️⃣ Bei nafuu 💸👉 Chagua moja tu!
01/05/2026

🚍 Ni nini muhimu zaidi kwenye safari ya basi?
1️⃣ Comfort 😌
2️⃣ Speed ⚡
3️⃣ Bei nafuu 💸
👉 Chagua moja tu!

🚍 VIDOKEZO 3 MUHIMU KABLA YA KUSAFIRI1️⃣ Kata tiketi mapema ili kuepuka kukosa siti2️⃣ Hakikisha una taarifa sahihi za s...
01/05/2026

🚍 VIDOKEZO 3 MUHIMU KABLA YA KUSAFIRI
1️⃣ Kata tiketi mapema ili kuepuka kukosa siti
2️⃣ Hakikisha una taarifa sahihi za safari yako
3️⃣ Epuka usumbufu wa stendi — tumia huduma rahisi
💡 Ndipo FASTIKETI tunapoingia 👇
Tunakuunganisha na tiketi yako haraka, bila stress!
📲 Wasiliana nasi sasa:
0791 880 888
✨ FASTIKETI
Haraka | Rahisi | Uhakika

NAFASI ZINAISHA HARAKA
30/04/2026

NAFASI ZINAISHA HARAKA

Karibu FASTIKETI, suluhisho la haraka, rahisi na la uhakika kwa safari zako zote ndani na nje ya Tanzania. Tunakusaidia ...
29/04/2026

Karibu FASTIKETI, suluhisho la haraka, rahisi na la uhakika kwa safari zako zote ndani na nje ya Tanzania. Tunakusaidia kupata tiketi zako kwa urahisi popote ulipo kwa huduma ya kuaminika na ya haraka.
FASTIKETI – Haraka | Uhakika | Rahisi

🚍 USIPOTEZE MUDA STENDI!Safari sasa ni rahisi kuliko unavyofikiria.Kupata tiketi yako ya basi popote ulipo ni dakika cha...
28/04/2026

🚍 USIPOTEZE MUDA STENDI!
Safari sasa ni rahisi kuliko unavyofikiria.
Kupata tiketi yako ya basi popote ulipo ni dakika chache tu — hakuna foleni, hakuna usumbufu.
📲 Wasiliana nasi moja kwa moja WhatsApp au piga simu:
📞 0791 880 888
FastiKeti – HARAKA | RAHISI | UHAKIKA
Safari yako inaanza hapa 🇹🇿

🚍 Panga safari yako kwa akili, usisubiri mwisho!Epuka usumbufu wa kukosa siti — nipo hapa kukuhakikishia tiketi yako map...
23/04/2026

🚍 Panga safari yako kwa akili, usisubiri mwisho!
Epuka usumbufu wa kukosa siti — nipo hapa kukuhakikishia tiketi yako mapema kwa urahisi na uhakika.
💺 Pata siti unayotaka
⚡ Huduma ya haraka na ya kuaminika
📍 Safari za mikoa yote Tanzania
👉 Niambie unaenda wapi na lini — mengine ni juu yangu!
📞 Piga simu / WhatsApp sasa: 0791 880 888
🔥 Haraka | Rahisi | Uhakika
👉 Follow page hapa: https://www.facebook.com/profile.php?id=61567975881720
🔄 Share post hii ili wengine wasipate usumbufu wa tiketi 🙌

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
11101(POSTA,DARESSALAAM)

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FastiKeti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share