Mambo yamekuwa powa zaidi kwa hyu kijana anaetrend na ngoma yake ya Hip Hop ,baada ya Meneja wa Msanii , Diamond Platinum...
Kushusha maua yake na kuahid kumsaidia.
06/05/2026
Wanne mbaroni kwa mauwaji ya James Temba
06/05/2026
Penzi la Mwendokasi
05/05/2026
Mzazi wa kijana James Temba alieuwawa kwa kuchinjwa ,aelezea mkasa mzima.
05/05/2026
Nafikiri wengi wenu mlikutana na video ya hyu jamaa akijifanya eti ni mwizi amezingirwa na nyoka. Sasa umejifunza nini kuanzia sasa? Sio kila unachokiona mtandaoni ni Cha kuamini.
05/05/2026
Una maoni Gani?
05/05/2026
Semaji kwa mikwara🤣
05/05/2026
Unampa marks ngapi huyu msanii kwa ubunigu huu?
05/05/2026
Muigizaji na aliekuwa miss Tanzania Wema Sepetu amebaki mpweke baada ya kufiwa na mbwa wake mpendwa siku ya Jana. Tuchukue muda wetu kumpa pole mana alikuwa ni faraja kubwa kwake.
Be the first to know and let us send you an email when Udakutz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.