Mikoy Update

Mikoy Update update

Ndugu zetu wengi vita ya Iran na Israel wameiweka kidini lakini mnafahamu kuwa Israel kidini ina mgawanyo ufuatao: Wayah...
03/03/2026

Ndugu zetu wengi vita ya Iran na Israel wameiweka kidini lakini mnafahamu kuwa Israel kidini ina mgawanyo ufuatao:

Wayahudi -70%
Waislam - 20%
Wakristo - 1.8%

Halafu kuna WaDruze na wengineo hivyo Israel ni Wayahudi na wanaofuata ni Waislam kwa wingi.

Ukitazama hiyo picha mtazamo wa Israel ama Waziri Mkuu wake Benjamin Netanyau ni Dini ya Kihayudi ambapo alikataa hadharani kuwa Taifa lake halifuati mafundisho ya Yesu wala mitazamo yake lakini hawamtambui Yesu k**a Massih wala Mtakatifu ila wanatumia faida ya Ukristo kwenye siasa zao za Mwamvuli wa kidini k**a ilivyo sasa.

Taarifa hizi sio zao Mkulima bali kwa msaada wa Mtandao haswa GROK ambayo ni teknolojia ya Marekani nikaona tugaiane elimu kidogo.

Mikoy Update
Sahil Kumar

MAREKANI HAIJAMTUMA TRUMP KUMUUA AYATOLLAH ALLI KHAMENEISenetor Chuck Schumer amesema leo hii kwenye mkutano wake na waa...
03/03/2026

MAREKANI HAIJAMTUMA TRUMP KUMUUA AYATOLLAH ALLI KHAMENEI

Senetor Chuck Schumer amesema leo hii kwenye mkutano wake na waandishi wa habari kuwa nchi yao imeingizwa kwenye mzozo mkubwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na maamuzi mabovu ya Trump.

Wamarekani hawakuitaka vita hii kabisa, na Wala Bunge la seneti halijapitisha kuwa Iran ishambuliwe. Haya yalikuwa maamuzi ya Donald Trump na jopo lake na hayakuwa maamuzi ya taifa la Marekani.

Nchi Kwa sasa inaingia hasara zisizo na msingi Wala sababu, nchi washirika pia zinataabika kwa makombora ya Iran na kuharibiwa kikamilifu. Yote haya ni ya Trump asiyetaka kusikia ya wengine.

Marekani inahitajia kuimarisha uchumi wake Kwa ndani na sio kuanzisha mizozo mipya isiyokuwa na tija.



Mikoy Update

03/03/2026
03/03/2026

Iranian conflict

NGUVU YA IRAN INAANZA KUONEKANA.....🗣️💨Saudi Arabia imethibitisha kuwaUbalozi wa Marekani umeripuliwa na drones mbili za...
03/03/2026

NGUVU YA IRAN INAANZA KUONEKANA.....🗣️💨

Saudi Arabia imethibitisha kuwaUbalozi wa Marekani umeripuliwa na drones mbili za Iran
Iran kashatia nia ya kumaliza kila kitu anachokimiliki Marekani ndani ya Mashariki ya kati.

Iran alisema hatoacha kuishambulia Marekani na Israel mpaka atakapomaliza kila kitu chao ndani ya Mashariki ya kati.

🇮🇷 USA 🇺🇸 conflict
Middle East

Meli kubwa ya Marekani Jina Abraham lincoln yazamishwa na Iran 🇮🇷
02/03/2026

Meli kubwa ya Marekani Jina Abraham lincoln yazamishwa na Iran 🇮🇷

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mikoy Update posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share