26/08/2026
Dah!!😭😭💔🚨miongoni mwamatukio hatari zaidi duniani ni kufa kwa wachezaji uwanjani hii imekua kisikitisha mara kwa mara yapo matukio amabayo hutokea sana kala vile ÷
1.Mshutuko wa moyo
2.Kupigwa na radi.Huku wengi wao wakisemakua ni ushirikina.
Upi mtazamo wako katika hili?
V
Mile Media tz follow us