16/07/2026
Nawakumbusha wazazi kukagua daftari za mwanao,
Anasahishiwa?
Anakusanya daftari?
Anaandika kazi? Nukuu je?
Kitu Cha kwanza kinachochangia ktk ufaulu wa mtoto ni awe na notes/nukuu 💗
MADAM PHRIDAH🤎🤎🤎
Tunaangazia Maisha halisi ya kila siku ya mwalimu na mwanafunzi. Vichekesho na kumbukizi za Enzi za shule.
Dar Es Salaam
Be the first to know and let us send you an email when Kona ya Mwalimu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Send a message to Kona ya Mwalimu: