NYUKI WA MAMA

NYUKI WA MAMA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NYUKI WA MAMA, Social Media Agency, Dar es Salaam.

21/11/2024

*HOTUBA YA MHE.RAIS ALIPOTEMBELEA ENEO LA MAAFA KARIAKOO*

Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Suluhu Mkoani Mwanza
30/01/2024

Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Suluhu Mkoani Mwanza



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa habari kuelezea masuala mba...
25/01/2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa habari kuelezea masuala mbalimbali ya ziara yake nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2024. Pembeni ni mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo.



Rais Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo mara baada ya kupanda mti w...
25/01/2024

Rais Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo mara baada ya kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo yaliyopo mji wa Bogor (Bogor Presidential Palace) tarehe 25 Januari, 2024.



ZIARA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NCHINI INDONESIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ...
24/01/2024

ZIARA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NCHINI INDONESIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya Kiserikali ya Siku 3 Nchini Indonesia


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt  Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu Ulinzi na Usalama (Troik...
04/11/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola tarehe 04 Novemba, 2023.

Pamoja na mambo mengine, Mkutano huo utajadili juhudi za SADC katika kuimarisha hali ya Amani, Ulinzi na Usalama Mashariki mwa Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).


RAIS SAMIA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA KUGAWA AMBULANCE NA VIFAA TIBA NCHI NZIMA LEORais wa Jamhuri y...
28/10/2023

RAIS SAMIA KUZINDUA RIPOTI YA UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA KUGAWA AMBULANCE NA VIFAA TIBA NCHI NZIMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua ripoti ya tafiti ya afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria ya mwaka 2022.

Tafiti hii hufanyika nchini kila baada ya miaka 5 kupitia Ofisi za Mtakwimu Mkuu wa Tanzania Bara na Zanzibari kwa kushirikiana na Wizara ya Afya pande zote mbili na Ofisi ya Rais TAMISEMI pamoja na wadau ambapo Ripoti hutoa dira juu ya hali halisi ya utolewaji wa huduma za afya ya uzazi na mtoto.

Tafiti hii huongoza kwenye tathmini ya uwajibikaji katika kutatua changamoto za utoaji wa huduma za afya uzazi kwa kupima viashiria vilivyopo na jinsi tulivyofikia malengo ya utoaji wa huduma bora za afya ya uzazi pamoja na kupunguza au kuondokana na athari zitokanazo na changamoto za afya ya uzazi

Sambamba na uzinduzi wa Ripoti hii Rais Dkt. Samia anatarajiwa pia kuzindua magari ya kubebea wagonjwa, magari ya usimamizi pamoja na kugawa vifaa tiba nchi nzima ikiwa ni muendelezo wa azma yake ya kuboresha huduma za afya nchini


MKUTANO MKUU WA MWAKA NA WA JUKWAA LA MAJAJI WAKUU WA  KUSINI NA MASHARIKI MWA AFRIKA - ARUSHA
23/10/2023

MKUTANO MKUU WA MWAKA NA WA JUKWAA LA MAJAJI WAKUU WA KUSINI NA MASHARIKI MWA AFRIKA - ARUSHA


SALAMU ZA PONGEZI
22/10/2023

SALAMU ZA PONGEZI

Matukio katika picha.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uzinduzi wa M...
21/10/2023

Matukio katika picha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uzinduzi wa Mitambo ya Uchorongaji kwa ajili ya Wachimbaji wadogo na Mitambo ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 21 Oktoba, 2023.


Matukio katika picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea wafanyabishara wadogowad...
18/10/2023

Matukio katika picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea wafanyabishara wadogowadogo Mkoani Tabora kuwasikiliza na kutatua Changamoto zao Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea na  kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombi...
18/10/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea na kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.


Address

Dar Es Salaam
234

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NYUKI WA MAMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share