Kendrick info

Kendrick info Karibu kwenye ukurasa wetu wa Facebook kwa habari za siasa, burudani, michezo, na matangazo.
(1)

Wasiliana nasi kwa WhatsApp: 0788897273 kwa matangazo na maelezo zaidi.

19/10/2025

𝐇𝐀𝐓𝐔𝐉𝐀𝐂𝐇𝐄𝐙𝐀 π•πˆπ™π”π‘πˆ - 𝐏𝐀𝐍𝐓𝐄𝐕
"Bao tulilopata mwishoni mwa First Half lilisaidia kuongeza kitu kwa Wachezaji wangu akilini mwao sababu niliwaeleza ni lazima tufunge bao Kipindi cha kwanza, Iliwaongezea Kujiamini tuliporejea Kipindi cha Pili"

"Tumepata matokeo mazuri, 0-3 kwa Ugenini ni Positive result lakini sijafurahishwa na mchezo sababu wachezaji wangu wamecheza kwa asilimia chache sana vile nilivyotaka, Tunarudi mazoezi kurekebisha sababu ni lazima wacheze k**a ambavyo nataka, Mechi bado haijaisha hii tuna Dakika zingine za kucheza wiki ijayo"

Meneja wa Simba SC, Nikolaev Pantev akihojiwa na Eswatini TV

19/10/2025

Umeipokeaje Taarifa hii ??

18/10/2025

Nachoka Kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ

17/10/2025
16/10/2025

K**a unamkumbuka huyu mwamba tuambie kwenye Comment unakumbuka nini

14/10/2025

Ufupi Tukubaliane Huku Taifa Stars Tuna Safari Ndefu K**a Taifa. Pamoja Na Hamasa Kubwa Na Kujitoa Kwa Mashabiki Na Wanamichezo Wengine Lakini Kila Kukicha Ni Vilio.

Imefikia Hatua Mashabiki Wa Soka Tunatoa Heshima Na Uzalendo Kwa Vilabu Kuliko Timu Ya Taifa Kwa Sababu Kila Siku Maneno Ya Program, Tunasuka Timu Ya Ushindani, Vijana Na Porojo Kibao Lakini Hakuna Mwendelezo.

Timu Ya Taifa Haina Dira Kamili, Bado ni Kichwa cha mwenda wazimu

13/10/2025

CAPE VERDE πŸ‡¨πŸ‡» anaenda zake Kombe la Dunia hapa ni taifa la watu 560,000 pekee na linakuwa Taifa la pili lenye idadi ndogo zaidi ya Watu kufuzu Fainali za Kombe la dunia baada ya Iceland.

13/10/2025

wa Simba SC, Jonathan Sowah, amesema kocha mpya Dimitar Pantev ameleta mabadiliko makubwa ndani ya timu na anapenda ushindi kila wakati.

β€œKocha anataka tucheze kwa kujiamini na kushambulia bila woga,” alisema Sowah baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya Al Hilal.

Amesema Pantev ana mpango maalum wa kuibadilisha Simba na kuifanya timu imara zaidi msimu huu.

13/10/2025

️ Wewe ni kocha mwenye akili timamu, imebaki nafasi moja ya kiungo na umewekewa Allasane Kante wa Simba na Morice Chukwu wa Blackstars unaondoka na nani?

Mimi bila kujiuliza maswali mengi chaguo langu ni Morice Chukwu πŸ‡³πŸ‡¬ he is master πŸ”₯⚽️🧠

UNAONDOKA NA NANI KOCHA WA MTANDAONI?

11/10/2025

TATU MGONGONI,alivaa Haruna Moshi Shaban maarufu Boban, alifanya matusi sana akiwa na Lunyasi..

Muda ukapita,bwana mdogo aliyechipukia timu ya Simba B,William Lucian maarufu Gallas akaitumia jezi namba 3 na moja ya sababu ya kuivaa jezi namba 3 ikiwa Idol wake alikua Haruna Moshi.

Akatwanga kwa muda wake ulivyomalizika akasepa.

Ikapita muda mrefu pasipo jezi hiyo kuvaliwa na msimu huu wa 2025/26 Jonathan Sowah ndio mchezaji anayevaa jezi namba 3.

Huwenda Sowah akafanya makubwa k**a aliyoonesha Haruna Moshi Shaban maarufu Boban..

Mwanzo mzuri mpaka sasa kwa Jonathan Sowah, huyu ni mshambuliaji wa viwango sana.

Address

Accra

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kendrick info posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kendrick info:

Share