Areeh injinia Yanga Sc

Areeh injinia Yanga Sc 󰟱󰟷󱢱♡ 🏟️ُ

󰤥 3k 󰤦 457󰤧 12k

󰣐¹⁵ 󰤖 󰤗 󰤘 󰤭
https://youtube.com/?si=9SGzcy5Q5S80Uvvv

FAMILIA NYIE AMUOGOPI🙌💚💛
10/04/2025

FAMILIA NYIE AMUOGOPI🙌💚💛

Ni rasmi mzee kibu Denis ametimiza miaka Mitano kwenye ligi yetu akiwa na bao mbili pekee🤔🤔🤔Ikumbukwe alikuja nchini 201...
15/02/2025

Ni rasmi mzee kibu Denis ametimiza miaka Mitano kwenye ligi yetu akiwa na bao mbili pekee🤔🤔🤔

Ikumbukwe alikuja nchini 2019 akiwa raia wa Congo na Malawi kisha akapewa uraia wa Tanzania na kuahidi kutupatia kombe la dunia🤔

NB miaka mitano = na siku 1825 saa 48500 ,umri wa mtoto wa darasa la pili

K**A UNAWAJUA WATAJE 😀💚💛@topfans
11/02/2025

K**A UNAWAJUA WATAJE 😀💚💛
@topfans

26/01/2025
DEAL DONE ✅ Yanga Princess imemtambulisha rasmi mshambuliaji wao mpya, Jenine Mukandayisenga ambae wamemsajili kutoka Ra...
20/01/2025

DEAL DONE ✅

Yanga Princess imemtambulisha rasmi mshambuliaji wao mpya, Jenine Mukandayisenga ambae wamemsajili kutoka Rayon Sports W ya Rwanda.

Alikuwa na timu kwa muda mrefu akifanya nayo mazoezi na sasa wameiweka rasmi usajili wake.

16/01/2025

🤣😂😂😂 NI MWENDO WA VIATU

07/01/2025

🥺😁🥴😂😂😂🤣🤣🤣
゚viral

CHUMA kwa CHUMA 💚💛@topfans
06/01/2025

CHUMA kwa CHUMA 💚💛
@topfans

😃😃 Mwaka Umechangamka
06/01/2025

😃😃 Mwaka Umechangamka

🌟PESA INAENDA KUONGEA KWA MKAPA..Tajiri wa Tou Puissant Mazembe Moes Kayumbi katoa atoa ahadi ya kununua kila goli litak...
02/01/2025

🌟PESA INAENDA KUONGEA KWA MKAPA..

Tajiri wa Tou Puissant Mazembe Moes Kayumbi katoa atoa ahadi ya kununua kila goli litakalo fungwa na Club yake yaani Tou Puissant Mazembe.Kila Goli atanunua kwa Tsh Million 100.

Wakati Goli la Mama likiwa ni Million 5 ,kuna mwanaume kutokea Congo kaweka million 100 kila Goli.Kupitia mtandao wake moes Katumbi katenga Kitita cha Sh million 400 Kwaajiri ya Mechi Hiyo.

Pesa inaenda kuongea kwa Mkapa.

🚨_|| Afisa habari wa Yanga SC ALLY KAMWE anasema timu kung'oa viti ni uhuni. ''Sisi yanga sio timu ya kihuni shabiki aki...
02/01/2025

🚨_|| Afisa habari wa Yanga SC ALLY KAMWE anasema timu kung'oa viti ni uhuni.

''Sisi yanga sio timu ya kihuni shabiki akikukera wewe kaa kimya muachie Pacome ama dube afunge, using;oe viti hasira zote waachie wachezaji.''- Ally Kamwe.

Amesema hayo kwenye mazoezi ambayo yanga wamefanya leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
@

🚨 FULL TIME  🇹🇿 TANZANIA: Women's Premier League  🌟Ceasiaa Queens 1️⃣-4️⃣ Yanga Princess                                ...
31/12/2024

🚨 FULL TIME

🇹🇿 TANZANIA: Women's Premier League


🌟Ceasiaa Queens 1️⃣-4️⃣ Yanga Princess
⚽ N. Paul
⚽⚽⚽ E. Udong


Vinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Nbc 🇹🇿 2024-25 hadi sasa🇰🇪 Elvis Rupia (Singida Bs): 8️⃣🇨🇮 Jean Ahoua (Simba): 7️⃣🇹🇿 ...
29/12/2024

Vinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Nbc 🇹🇿 2024-25 hadi sasa

🇰🇪 Elvis Rupia (Singida Bs): 8️⃣
🇨🇮 Jean Ahoua (Simba): 7️⃣
🇹🇿 Clement Mzize (Yanga): 6️⃣
🇹🇿 S. Mwalimu (Fountain): 6️⃣
🇿🇼 Prince Dube (Yanga): 5️⃣
🇨🇮 Pacöm Zouzoua (Yanga): 5️⃣
🇨🇲 Lionel Ateba (Simba): 5️⃣
🇺🇬 Peter Lwasa (Kagera): 5️⃣
🇹🇿 William Edgar (Fountain): 5️⃣

🚨_|| Raisi wa Young Africans Sports Club➡️ "Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu tumemaliza mchezo Salama, Matokeo...
08/12/2024

🚨_|| Raisi wa Young Africans Sports Club

➡️ "Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu tumemaliza mchezo Salama, Matokeo tuliyoyapata ni sehemu ya Mchezo lakini kuna hatua kubwa zinaenda kuchukuliwa katika kikosi chetu. Yote mliyoyaona na mimi nimeyaona niseme tu sitoyafumbia macho baadhi ya wachezaji itabidi watupishe".

Maneno ya Engineer Hersi Saidi - Raisi wa klabu ya Yanga Sc

🚨_|| 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗨𝗣𝗗𝗔𝗧𝗘𝗦 ⤵️➡️ Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani n...
02/12/2024

🚨_|| 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗨𝗣𝗗𝗔𝗧𝗘𝗦 ⤵️

➡️ Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

★ Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇

➡️ “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku k**a anazuia mimba”

➡️ “Tunaangalia kiwango chake k**a kitaturidhisha tutahangaika nae lakini k**a ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…k**a tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code”

➡️ Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini

➡️ Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5)

1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake

2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000)

- Yanga wamemaliza kwa kusema k**a hayo maagizi hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi

Unaikumbuka Hii Mechi🧏 ?Kunazawadi Hapa Tukutane Kwenye Comment 👇📥
01/12/2024

Unaikumbuka Hii Mechi🧏 ?
Kunazawadi Hapa Tukutane Kwenye Comment 👇📥

Stephen Aziz Ki ni Mchezaji mkubwa sana na ana kipaji cha ajabu sana ila hajawa na nyakati nzuri hivi karibuni ndio maan...
30/11/2024

Stephen Aziz Ki ni Mchezaji mkubwa sana na ana kipaji cha ajabu sana ila hajawa na nyakati nzuri hivi karibuni ndio maana nilipost mapema kuwa hayupo kwenye level yake, Kocha ndie alimtoa k**a Mchezaji wa kwanza kipindi cha pili tu kilipoanza na akampatia namba Clatous Chama, game rasmi ikabadilikia hapo.

Tofauti ya Stephen na Clatous sio Kipaji bali kuna muda tu userious ama ukomavu, lakini pia Aziz ni Midfielder ambaye pia anafunga na anapenda kufunga ila Clatous ni Midfielder anayependa kufanya majukumu ya Kiungo zaidi nayo ni kuchezesha na kupika, tazama assist yake kwa Pacome utagundua utofauti wao.

Clatous ni X Factor na naanza kumwona anaelewana vyema sana na Pacome kiuchezaji, wamecheza vizuri sana pamoja kwa kipindi cha pili, kwa ufupi sana CLATOUS CHAMA ni DARAJA KUBWA SANA.

-Farhan kihamo

UNATAMANI ARUDI YANGA??
29/11/2024

UNATAMANI ARUDI YANGA??

Address

Kinyerezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Areeh injinia Yanga Sc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Areeh injinia Yanga Sc:

Share