
01/10/2024
Hongera kwa bingwa wa mwezi September, FPL TANZANIA ndugu The Strange Quarks na team yake ya Armageddon XI FC kwa kukimbiza league yetu na kujikusanyia points 255!!!
2️⃣ Wilson Exsuper
3️⃣ Albert Sebash
Wewe umepata points ngapi?