Chrini media

Chrini media Kwa habari zamichezo na burudani usikose kutufuatilia. tv, karibu yako📷📹

Simba yaendeleza  ubabe wao ndani ya ligi kuu ya NBC , tusubiri kidogo au gari limewaka?
26/08/2024

Simba yaendeleza ubabe wao ndani ya ligi kuu ya NBC , tusubiri kidogo au gari limewaka?

Mbaka Sasa Simba imewapa mkono was Kila la kheri wachezaji wanne ,nasoro kapama ,shabini chilunda, abdaramani Musa,na ji...
16/01/2024

Mbaka Sasa Simba imewapa mkono was Kila la kheri wachezaji wanne ,nasoro kapama ,shabini chilunda, abdaramani Musa,na jimmysoji mwanuke TU! Makasasa akunataarifa ya kuondoka Kwa mosses Phiri, chama, Wala saido ntibanzokiza, zinginezo ni tetesi TU

Usajiri mpya simba
01/01/2024

Usajiri mpya simba

16/09/2023
Maneno ya mchezaji wa simba sc Moses phiri official Kwenye maojiano na wandishi wa habari
16/09/2023

Maneno ya mchezaji wa simba sc Moses phiri official Kwenye maojiano na wandishi wa habari

Msanii wa muziki  amuomba  kumsamee  aliekua msanii wake   ,akisea yule nikijaa wake na ametokea mikononi mwake,   maeya...
16/09/2023

Msanii wa muziki amuomba kumsamee aliekua msanii wake ,akisea yule nikijaa wake na ametokea mikononi mwake, maeyasea ayo walipokua kwenye show songea usiku Wasafifestival

Simba SC Tanzania Chrini media Wasafifestiva Shows AzamTv Kenyans.co.ke UGA.TV Yangasc Tv

Maneno yakocha wa simba
15/09/2023

Maneno yakocha wa simba

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania Hassani Mwakinyo ,Anajifua kuzichapa na bondia kutoka Kenya  Rayton Okwiri, k...
15/09/2023

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania Hassani Mwakinyo ,Anajifua kuzichapa na bondia kutoka Kenya Rayton Okwiri, kwenye pambano la kuwania Mkanda wa IBA,

Chrini media

Baada ya kuwa na kimya kilefu, na maawali mengi kunako club yaSimba SC  Kwenye upande wa gorikipa ,leo hii majila ya saa...
12/08/2023

Baada ya kuwa na kimya kilefu, na maawali mengi kunako club yaSimba SC Kwenye upande wa gorikipa ,leo hii majila ya saa 7 mchana simba sc imemtambulisha gorikipa mpya raia wa morocco akitokea kwenye clubu ya AS FAR . Kwa mkataba wa miaka miwili tu umri wa 28

Sina shaka na kiwango cha Luious Miqusone  Ila bado anaitaji muda kidogo ilikumuona yuleMiqusone ambae aliekua tishio kw...
11/08/2023

Sina shaka na kiwango cha Luious Miqusone Ila bado anaitaji muda kidogo ilikumuona yuleMiqusone ambae aliekua tishio kwa mabeki na viungo ,kwani nimtu mwenye uwezo wa kukupa matokeo au kutengeneza nafasi za atali kwa wapinzani ,kuto kufanya kupata nafasi kwenye timuiou yake ya zamani uko misri imemfanya miqusone kushuka kiwango kwakiasi furani na naamini anaweza kuludi katiaka moto ule ulee

Simba SC Tanzania VS Yangasc Tv ,Azam FC Vs SingidafountanegateFc

Namungo Fc Mtibwa Mindandspiritbeauty H&M ICESH&M ICESH&M ICES ICES Abduli Mashaka

Simba sc imetinga nusu fainali ikimfunga singida fg fc  kwamikwaju ya penat ,simba sc ikishinda penat uku singida fg fc ...
10/08/2023

Simba sc imetinga nusu fainali ikimfunga singida fg fc kwamikwaju ya penat ,simba sc ikishinda penat uku singida fg fc akishinda 2 na kukosa mbili, ivyo inaendaeda kuminyana nguvu na jpili ya wiki hii tarehe 13/08/2023

Bado ngoma ngumu sana uko mkwakwani tanga kipindi cha kwanza kimetamatika si  wala   ambae ameleliona lango la mwenzake ...
10/08/2023

Bado ngoma ngumu sana uko mkwakwani tanga kipindi cha kwanza kimetamatika si wala ambae ameleliona lango la mwenzake , JE? NANI ATAKUBALI KICHAPO KWA MWENZAKE??

Mech imeanZa Simba SC Tanzania Vs  SingidafountanegateFc
10/08/2023

Mech imeanZa Simba SC Tanzania Vs SingidafountanegateFc

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chrini media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chrini media:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share