FSB TV

FSB TV FSB TV ni channel itakayo kuletea burudani, habari na michezo. FSB TV we are care for you.

Kiungo mahiri wa Simba SC, Yusuph Kagoma, ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake Msimba...
08/03/2026

Kiungo mahiri wa Simba SC, Yusuph Kagoma, ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake Msimbazi.

Uongozi wa Simba Sports Club umeamua kumuongezea mkataba mchezaji huyo kufuatia kiwango kizuri anachoendelea kukionesha ndani ya kikosi hicho.

Hatua hiyo inaonesha wazi kuwa benchi la ufundi lina imani na mchango wa Kagoma katika mipango ya sasa na ya baadaye ya timu hiyo katika mashindano ya ndani na kimataifa.

Mashabiki wa Simba wana matumaini kuwa kuendelea kubaki kwa Kagoma kutaimarisha zaidi safu ya kiungo ya wekundu hao wa Msimbazi.

゚viralシfypシ゚viralシalシ

🔴 HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA SIMBA!Klabu ya Simba Sports Club imeendelea kuimarisha kikosi chake baada ya beki wake m...
08/03/2026

🔴 HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA SIMBA!

Klabu ya Simba Sports Club imeendelea kuimarisha kikosi chake baada ya beki wake mahiri, Rushine De Reuck, kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Uongozi wa Simba umeonesha imani kubwa kwa nyota huyo wa Afrika Kusini ambaye amekuwa sehemu muhimu ya safu ya ulinzi ya Wekundu wa Msimbazi. Kuongezwa kwa mkataba wake kunaashiria dhamira ya klabu kuendelea kujenga kikosi imara kitakachopambana kwa mafanikio kwenye mashindano ya ndani na yale ya kimataifa.

Je, unaonaje uamuzi huu wa Simba kumuongeza mkataba De Reuck?
Toa maoni yako hapa chini. 🔴🦁

゚viralシfypシ゚viralシalシ

14/06/2025

Kivumbi ndani ya London.

Diamond platnumz amekiwasha huko London akiwa na mashabiki wa kutosha pamoja na Team yake nzima aliyoshilikiana nayo katika kukamilisha Tour yake ya show Hiyo Nchini London.

14/06/2025

Show ya Diamond Platnumz akiwa London..

Ni nyomi la watu waliojitokeza kuujaza ukumbi huko London wenye nafasi ya idadi ya watu 5,000.

Diamond platnumz ametunukiwa zawadi ya Tuzo kwa kuweza kuujaza uwanja huo akiwa nchini London.

14/06/2025

Diamond Platnumz in London 💥

14/06/2025

Diamond Platnumz na Team yake.
Challenge bado inaendelea ya wimbo wake wa (BABU) akiwa London.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FSB TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category