
26/08/2025
https://gudemediadigital.blogspot.com/2025/08/kairuki-achukua-fomu-uteuzi-ubunge.html
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Mgombea mteule wa Ubunge Jimbo la Kibamba, wilayani Ubungo, kupitia CCM, Angellah Kairuki, amechukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu.Kairuki amekabidhiwa fomu hizo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jiimbo la Kibamba na Ubungo, Rose Mpeleta.Baad...