16/07/2025
Detective Pius yupo kazini kufuatilia tukio la uvamizi lililopelekea kifo cha Kigogo mkubwa wa madini nchini. Katikati ya uchunguzi wake anakutana na msichana Josephine anayejulikana k**a Jojo ambaye anafanya biashara ya ukahaba. Bila kujua kuwa Jojo ana mahusiano na mwanaume ambaye ndio muhusika wa tukio la mauaji analolifuatilia, anaitoa kafara ndoa yake na kuanzishanaye mahusiano.
Jiunge sasa na Channel ya AudioFlix kusikiliza mkasa huu wa kusisimua.
Bonyeza 👇https://whatsapp.com/channel/0029VafaDWe3mFY5Qj7Rme0d