04/08/2025
π― Katika kozi hii, utajifunza:
Mifumo ya mwili inayohusika na nguvu za kiume
Dalili za upungufu
Sababu zake
Njia za kujikinga
Vyakula na mazoezi sahihi
Na suluhisho la dawa asilia
---
π Somo la 1: Utangulizi
Mwili wa mwanaume ni mfumo changamano. Ili uweze kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi, unahitaji utimamu wa mwili na akili.
Tatizo la nguvu za kiume linapotokea, mwanaume hukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kuendelea kusimama hadi mwisho wa tendo.
---
π§ Somo la 2: Mifumo Muhimu Inayoathiri Nguvu za Kiume
π Mfumo wa Misuli β huhakikisha uume unasimama imara
π Mfumo wa Uzazi β huhusika na hamu na utengenezaji wa mbegu
π Mfumo wa Moyo na Damu β usambazaji wa damu kwenye uume
π Mfumo wa Homoni β Testosterone na nyingine muhimu
π Mfumo wa Neva β ubongo na hisia hucheza nafasi kubwa sana
---
π¨ Somo la 3: Dalili za Upungufu wa Nguvu
Uume kutosimama au kusimama legelege
Kumwaga mapema
Kukosa hamu ya tendo
Uchovu kupita kiasi baada ya tendo
Kushindwa kurudia tendo zaidi ya mara moja
---
π Somo la 4: Sababu Kuu
Kisaikolojia: Stress, huzuni, uraibu wa punyeto
Kimwili: Pombe, sigara, uzito mkubwa, kisukari, presha
Madhara ya dawa: Presha, usingizi, TB
---
π‘οΈ Somo la 5: Jinsi ya Kujikinga
βοΈ Fanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku
βοΈ Kula vyakula asilia na epuka vyakula vyenye mafuta mengi
βοΈ Kunywa maji ya kutosha
βοΈ Pata usingizi wa masaa 7β9
βοΈ Epuka msongo wa mawazo na punyeto
---
π₯ Somo la 6: Vyakula Bora kwa Nguvu
Karanga, korosho, mayai, ndizi, parachichi
Asali, tangawizi, vitunguu saumu
Samaki, dagaa, maini, mbegu za maboga
---
ποΈββοΈ Somo la 7: Mazoezi Maalum
1. Squats
2. Kegel Exercises
3. Sit-ups na Planks
4. Kukimbia au kutembea haraka (Cardio)
---
πΏ Somo la 8: Suluhisho la Dawa Asilia
Dawa zetu za asili husaidia:
β
Kuimarisha mishipa ya damu
β
Kurekebisha homoni
β
Kuongeza stamina na hamu
β
Kuongeza mbegu za kiume
Aina za matumizi:
Liquid ya kunywa
Capsule/tablet ya kumeza
---
π BONUS: Ushauri Binafsi
Unapata nafasi ya kuwasiliana na mtaalamu wetu kwa ushauri wa moja kwa moja, ratiba ya lishe na mazoezi kulingana na hali yako.
π Mawasiliano:
WhatsApp: 0756 630 014
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Usisubiri matatizo yawe makubwa. Jipatie kozi hii sasa na uanze safari yako ya kuwa mwanaume mwenye kujiamini tena