08/11/2022
Muyo App ni aplikesheni ya simu ambayo inakukutanisha na wataalam watakaokusaidia kwenye changamoto za kisaikolojia, mahusiano, ndoa, afya, na ujasiriamali .
Pia ina platform ya wewe kutafuta mchumba. MUYO App ina platform ya kupata dondoo mbalimbali ( madarasa k**a kliniki ya wanandoa, ndoto na maana zake, darasa la mapishi, nakadhalika)
Unaweza kupost mawazo yako na wengine wakacomment au wewe pia ukacomment kwenye mawazo ya watu wengine.
Ahsante kwa kuchagua Muyo App!
SAIDIKA KIDIGITALI