Just WilGula

Just WilGula Be Like Me

Say something positive 😊
25/08/2025

Say something positive 😊

21/07/2025

Mvua

thewillygm

02/07/2025

It's you versus you.
Force your problem and solution

Ahsante sana Facebook sitowaangusha mpk muanze nilipa na Mimi😂😂.Guys it's Facebook has recognized me as a super content ...
19/06/2025

Ahsante sana Facebook sitowaangusha mpk muanze nilipa na Mimi😂😂.

Guys it's Facebook has recognized me as a super content with quality uploader. Your support matter a lot to me , just like and share to reach more people.🙏👍


>

"ONE DAY AT A TIME — this photo may not be real, but the dream is. I believe that through YouTube, hard work, and God’s ...
18/06/2025

"ONE DAY AT A TIME — this photo may not be real, but the dream is. I believe that through YouTube, hard work, and God’s timing, I will one day meet MrBeast and step foot in the USA as a proud Tanzanian creator. Until then, I keep learning, building, and showing up daily. 🇹🇿📹✨

"

//

"SIKU MOJA BAADA YA NYINGINE — picha hii si halisi, lakini ndoto yangu ni ya kweli. Naamini kupitia YouTube, bidii, na wakati wa Mungu, siku moja nitakutana na MrBeast हिन्दी na kufika Marekani k**a mumbaji wa Kitanzania. Mpaka hapo, naendelea kujifunza, kujenga, na kusimama kila siku. 🇹🇿📹✨

.

Unataka kujifunza kutengeneza picha k**a hio?😂
Unataka kuanza lakini hujui uanzie wapi?😔
Una ndoto lakini hujui utapata motisha wapi zaidi ya kuzitimiza?😭
Wewe ni mpambanaji lakini huoni matokeo?🐐

Usiwaze, majibu ya maswali yako ninayo. Ni dm au comment chini nitakujibu

Comment "NIJIBU" sasa

HAIKUTABIRIKA HII😭😅Mvua ya Siku Ile: Dar haitabiriki!Siku kadhaa zilizopita, nilijiamini k**a kawaida. Nimetoka home Kig...
17/06/2025

HAIKUTABIRIKA HII😭😅

Mvua ya Siku Ile: Dar haitabiriki!

Siku kadhaa zilizopita, nilijiamini k**a kawaida. Nimetoka home Kigogo nikiwa smart – raba safi, t-shirt mpya niliyochomoka nayo Kariakoo, na tumaini la siku nzuri mfukoni.

Hakuna dalili ya mvua, hata kidogo. Jua lilikua kali k**a limekasirika. Nikaona isiwe shida, nishike zangu daladala hadi Sinza kwenye miadi ya kazi ndogo.

Kufika Magomeni tu, anga likabadilika k**a mood ya ex. Wingu zito, upepo ukaanza kuchoma mashavu... kabla sijamaliza kusema “Aisee, hii hali si ya kawaida” — bomu la mvua likashuka! Sio tone, ni matusi ya mvua!

Kwa bahati mbaya nilikua nimekaa dirishani, na dereva hakujali. Akaniahidi “ni mwendo wa dakika 5 tu tufike,” kumbe zilikuwa dakika 25 za mateso. Maji yakanilowa hadi ndani ya roho, na yule konda kaamua kutoa mzaha tu:
“Karibu kwenye uhalisia wa Dar! Ulikuja ukiamini, utarudi ukioga!”

Nilifika site nikiwa nimechafuka k**a mtu aliyepambana na bahari. Kazi ikaahirishwa sababu ya mvua, na nimerudi home nikishangaa maisha.

Mtaa ukaniona na macho ya huruma, mama ntilie akaniambia,
“Pole kijana, mvua ya Dar haichagui mtu.”

Nikacheka kimoyo moyo. Nikaingia ndani nikavuta blanketi... nikajisemea:

“Hivi ndivyo kimeniramba leo.”

✅ Umeshawahi kukumbwa na mvua kali Dar?
👇 Tuachie comment yako, tag rafiki yako aliyehama viatu siku hiyo, na usisahau kushea kwa mtu mmoja wa Kigamboni!

🔥

14/06/2025

New song |Everything but love

Wapi apo matajiri?
31/05/2025

Wapi apo matajiri?

12/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! It'z Sub-Zero, Kijana Wao, Dannizoh Jayden, Sebastian John

Hata k**a umeishafika mbali kiasi gani, ukijua umepotea njia rudi kuliko kupotea jumla! Kuanza upya si ujinga. Bora uanz...
27/03/2024

Hata k**a umeishafika mbali kiasi gani, ukijua umepotea njia rudi kuliko kupotea jumla! Kuanza upya si ujinga. Bora uanze upya ufike salama kuliko kuendelea usifike

01/05/2023

Mambo

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 03:59 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 04:00 - 04:00

Telephone

+255623316689

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Just WilGula posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Just WilGula:

Share