Joelmediatz

Joelmediatz Tunatatua Tatizo la Kipato Kwa Vijana
Kwa Kutumia Digital Skills
Digital Marketing, Graphics, Video Creation nk
0745 152 680
Tuma Ujumbe Whatsap πŸ‘‡

Glory Salon – Designing, Printing & Branding by Joel MediaJoel Media tulipata nafasi ya kipekee ya kudesign, kuprint, na...
17/09/2025

Glory Salon – Designing, Printing & Branding by Joel Media

Joel Media tulipata nafasi ya kipekee ya kudesign, kuprint, na kubrand salon ya mteja wetu Glory Salon.

K**a unahitaji kuboresha muonekano wa ofisi, duka au salon yako, tunakuhakikishia huduma bora na ubunifu wa hali ya juu unaoleta mvuto wa kibiashara.

πŸ“ Ofisi zetu: Ubungo External, Dar es Salaam
πŸ“ž 0627 150 780 | 0745 152 680

Build a Brand that Stands Out!At Joel Media, we believe every business deserves to stand out and tell its story with imp...
11/09/2025

Build a Brand that Stands Out!

At Joel Media, we believe every business deserves to stand out and tell its story with impact. That’s why we provide a full range of creative and digital solutions designed to help your brand grow and connect with the right audience.

1. Brand Identity & Graphic Design – From logos to complete brand systems, we craft visuals that leave a lasting impression.

2. Website Design – Professional, responsive, and user-friendly websites that make your business accessible 24/7.

3. CNC Works (Branding & Decoration) – High-quality 3D signage, branding, and interior decoration that gives your space a modern look.

4. Video Content Creation – Engaging videos that showcase your products, services, and story in the most compelling way.

Your vision deserves to be seen, remembered, and trusted. Let’s bring it to life together.

πŸ‘‰ Ready to transform your business?
πŸ“© DM us today and let’s design, market, and grow together!

We Are Located at Ubungo External Dar es salaam
+255 627 150 780
+255 745 152 680

16/08/2025
With Joelmedia – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
20/06/2025

With Joelmedia – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

07/04/2025

🎨 Unataka Kuwa Graphics Designer? πŸš€

Hizi ni software 3 muhimu unazopaswa kujua! πŸ‘‡

βœ… Adobe Photoshop – Kwa kubuni na kuhariri picha 🎭
βœ… Adobe Illustrator – Kwa kutengeneza logos na michoro ya vector 🎨
βœ… Adobe InDesign – Kwa kupangilia magazeti, brosha na vitabu πŸ“–

Jifunze kutumia software hizi na uanze safari yako ya ubunifu leo!

πŸ“ Ubungo External, Dar es Salaam
πŸ“ž Jiunge Sasa! πŸ“² +255 627 150 780

05/04/2025

K**a unadhani Adobe Photoshop ni Ngumu nikuondoe wasiwasi ni rahisi mno

Nimekua nikiwasuprise wanafunzi wangu kwenye kila session nayowapa wengi hudhani kuwa ni ngumu k**a wewe unavyodhan

Ndani ya wiki tatu pekee tunazofanya program hapa ofisini kwetu wengi wao wanatoka wakiwa wanafanya project nzuri

Ofisini kwetu ni
Ubungo External Dsm
0745 152 680

KIJANA: KWANINI UJIFUNZE UJUZI WA KIDIGITALI NA KUFANYA KAZI REMOTE?Dunia imebadilika, na kazi nyingi sasa zinafanyika m...
03/04/2025

KIJANA: KWANINI UJIFUNZE UJUZI WA KIDIGITALI NA KUFANYA KAZI REMOTE?
Dunia imebadilika, na kazi nyingi sasa zinafanyika mtandaoni. Hivi ndivyo unavyoweza kunufaika kwa kujifunza ujuzi wa kidigitali: πŸ‘‡

Faida za Ujuzi wa Kidigitali:
βœ… Fursa nyingi za kazi mtandaoni – Platform nyingi zinaajiri kila siku.
βœ… Uhuru wa muda na eneo – Unaweza kufanya kazi popote, muda wowote!
βœ… Kuokoa gharama – Hakuna nauli, hakuna kodi ya ofisi!
βœ… Uwekezaji wa maisha – Kujifunza ujuzi wa kidigitali kunakupa kipato cha kudumu.

Jinsi ya Kuanza:
πŸ”Ή Chagua ujuzi – (Graphic Design, Digital Marketing, Video Editing, Website Design).
πŸ”Ή Jifunze bure – Tazama video YouTube au Tafuta Mentorship Program, chukua kozi fupi mtandaoni.
πŸ”Ή Jenga portfolio yako – Fanya kazi za majaribio na onesha uwezo wako.
πŸ”Ή Jiunge na platform za kazi – Tafuta kazi Instagram,Facebook, Fiverr, na zingine.
πŸ”Ή Tangaza kazi zako mitandaoni – Weka kazi zako kwenye Instagram, LinkedIn, au Facebook.


πŸ‘‰ Acha kusubiri! Sasa hivi ndiyo muda sahihi wa kujifunza na kuanza kutengeneza kipato mtandaoni.

03/04/2025

"Wewe Unasubiri Nini?

Kuna watu wana "3-Year Asking Syndrome":

2022: "Nataka kununua kozi yako!"

2023: "Bado nina interest, nitumie bei tena."

2024: "Kozi bado ipo? Niko serious this time!"

2025: Bado wanatafuta motivation ya kuanza.

Ukweli ni huu:
πŸ”Ή Kutouliza mara kwa mara bila kununua hakukusaidii.
πŸ”Ή Muda unayotumia kuhesabu bei na kuomba "discount" ungekuwa umetumika kujifunza na kuanza kupata faida.
πŸ”Ή Ukitaka mafanikio, ACTION ndio suluhuβ€”sio maombi ya bure.

K**a unahisi:
βœ… Bei ni ghali – Nunua kile unachoweza kwa sasa, ujifunze kidogo, k**a unahitaji msaada wa kifedha, sema wazi.
βœ… Unaogopa kushindwa – Kila mtu alianza mahali, na mimi niko hapa kukusaidia.
βœ… Hujajipanga – Weka hela kando, nunua, ujifunze sasa.

Muda wa kubadilika ni sasa!
πŸ”₯ Au nenda moja kwa moja kwenye bio yangu bonyeza Link njoo whatsapp uanze kozi.

Address

P. O. BOX 61087
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joelmediatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Joelmediatz:

Share