Kimz Digital Channel

Kimz Digital Channel is a modern African digital media brand delivering trusted global stories through modern digital content , educating, informing, and entertaining .

Based In Dar Es salaam Tanzania

Call/WhatsApp!: +255 650 075 745
E-Mail: [email protected]

13/09/2026

Simba Sc 3 - 1 Wanderers

13/09/2026

SUMA MNAZARETI : HARMONIZE WA LEO SI YULE WA ZAMANI? 👀🔥

Suma Mnazareti asema Harmonize amekuwa na heshima zaidi na amebadilika, tofauti na kipindi ambacho alikuwa akijichanganya na kujichetua zaidi.

Na inaonekana kuna kitu kimoja kilichokuwa kinamfikia: maoni ya watangazaji, mashabiki na wadau mtandaoni.

Swali sasa ni Wasanii wanabadilika kwa sababu wamekomaa… au kwa sababu wamechoka kusikia watu wakiwakosoa? 👀


13/09/2026

SUMA MNAZARETI: “NIMEACHA MUZIKI.”

Baada ya miaka kwenye game, msanii huyo amefunguka kuhusu uamuzi wake wa kuachana na muziki, akitaja sababu kadhaa zilizomfikisha hapo.

Kutoka kwenye kizazi cha Hip-Hop kilichomjenga hadi leo, Suma sasa anaonekana kuchagua maisha nje ya muziki.

Lakini swali kubwa ni moja: Ni nini hasa kilimfanya aseme, “imetosha”? 👀

13/09/2026

AJALI ILIBADILI SIKU YA HARUSI, LAKINI HAIKUBADILI UAMUZI WAO WA KUPENDANA. 😭❤️💍

Kapri DeRamus alipata ajali akiwa njiani kwenda kumuoa Tyasia Thomas. Akiwa hospitalini akiwa na majeraha makubwa, wakiwemo mikono yote miwili kuvunjika, wawili hao wakaamua ndoa yao isiishie njiani.

Badala ya ukumbi wa harusi, wakasema “I do” ndani ya chumba cha hospitali, mbele ya familia—na babu yake Kapri ndiye aliyesimamia ndoa hiyo. ❤️

Maisha hayafuati kila mara siku tuliyoipanga… lakini wakati mwingine, upendo huifanya siku isiyotarajiwa kuwa kumbukumbu ya maisha yote. 🥹💍

13/09/2026

“UTARATIBU” WA ZAMANI? 😳🔥

Antie Ezekiel afunguka kuhusu kipindi ambacho kutoka na watu wazima kulionekana k**a sehemu ya “utaratibu” uliokuwepo.

Lakini swali linabaki: Huu ulikuwa utaratibu wa kawaida au pressure ya maisha ya wakati huo? 👀


13/09/2026

WOLPER × ALIKIBA: HII STORY YA “BIKIRA” IMERUDI TENA! 👀🔥

A-List walipofungua hii mada, ghafla maswali yakawa mengi kuliko majibu… 😂

Lakini swali ni moja tu: Kuna ukweli gani nyuma ya hii stori? 👀

12/09/2026

Unampa Asilimia Ngapi Shemeji / wifi Yenu kwa Dada Diva 😅

12/09/2026
12/09/2026

😅 Wajuba Mmeonaaaa?

14/05/2026

: Ziara ya Macron Kenya I The Silent Rise of East Africa ?

EP 01 : Wakati Emmanuel Macron alipowasili nchini Kenya…
Kwa wengi, ilikuwa ziara nyingine tu ya kidiplomasia.
Lakini nyuma ya mikutano, picha rasmi, na hotuba za viongozi…
Kulikuwa na ujumbe mkubwa zaidi ambao dunia ilikuwa ikiutuma.

" East Africa…inaanza kuwa moja ya maeneo muhimu zaidi duniani. ”

Like | Share & Subscribe

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kimz Digital Channel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share