Ulimwengu255

Ulimwengu255 News | Research | Entertainment | 📡 We connect you to the world through accurate, researched information.

Ilinde amani ya nchi yako🇹🇿
12/10/2025

Ilinde amani ya nchi yako🇹🇿

11/10/2025

Sasa Huu umezidi, Hii dunia iko 6G sasa😁😁

Asante Mungu kwa kunipa nguvu na nafasi ya kutimiza mwaka mwingine wa maisha  WEWE NI MWAMINIFU SANA! 🙏Shukrani za pekee...
10/10/2025

Asante Mungu kwa kunipa nguvu na nafasi ya kutimiza mwaka mwingine wa maisha WEWE NI MWAMINIFU SANA! 🙏

Shukrani za pekee kwa boss wangu , bila wewe nisingekuwa Bonge la Dada niliye leo. Umenisaidia kukamilika hata kwa hiki kidogo Mungu azidi kukubariki.

Asante pia kwa familia yangu yote ya kwa support kubwa mnaonipa kila siku ❤️
Na shukrani nyingi kwa mashabiki wangu, maboss wangu, na wote mlionishika mkono kwenye safari hii nawashukuru sana!

Nina mengi ya kushukuru, lakini naomba haya yatoshe kwa usiku huu."

HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎉💃" — Ameandika Queen_Fraison aka Bonge la Dada.

Follow Ulimwengu255 kwa taarifa zaidi

  YA LEO"Chadema baada ya kuona hawana hoja ya kushawishi wananchi na kushinda uchaguzi kwa kura basi wakaanza ajenda ya...
10/10/2025

YA LEO

"Chadema baada ya kuona hawana hoja ya kushawishi wananchi na kushinda uchaguzi kwa kura basi wakaanza ajenda ya vurugu, sababu tu ya tamaa ya madaraka. Sisi k**a viongozi wa dini hatuwezi kukubali abadani asilani wananchi wakataeni kabisa watu wenye mipango ya kuvuruga amani yetu, mtu anasema atakinukisha sasa kikinuka tutaishi wapi?. Wananchi tuwakatae watu wenye nia ya kuvuruga amani yetu wengine familia zao zipo Canada"

Kauli ya Alhaj Dr. Sulle akikemea vikali chadema na harakati zao za kupinga uchaguzi.

Follow Ulimwengu255 kwa Mengine zaidi👉🇹🇿

  VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYAUNGANA KUFANYA MAZOEZI LEOMaafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la P...
10/10/2025


VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYAUNGANA KUFANYA MAZOEZI LEO

Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi Tanzania, leo tarehe 10 Oktoba 2025 wameungana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama pamoja na Idara Maalum ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika matembezi ya pamoja yenye lengo la kudumisha ushirikiano baina ya vyombo hivyo na kujenga afya ya mwili na akili.

Hili ni jambo la kawaida sana kutokea.

Follow Ulimwengu255 kwa taarifa zaidi.

09/10/2025

I gained 4,909 followers, created 616 posts and received 61,981 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

09/10/2025

ANDIKA PAGE YAKO
TUKU FOLLOW FACEBOOK PESA IPO
FOLLOW 👉 Ulimwengu255

09/10/2025

Umemtambua nani hapo 🇹🇿

Tu follow Ulimwengu255 kwa mengine mengi

08/10/2025

Ila Yanga hapa mlizingua kabisa peupe 😅😅 kifua cheupe kabisa aan

Follow Ulimwengu255

08/10/2025

🇰🇪😅😅🙌🙌

Kutoka mtandaoni wewe unanini k**a maoni? Follow Ulimwengu255 kwa habari za zaidi (michezo na burudani)
08/10/2025

Kutoka mtandaoni wewe unanini k**a maoni?

Follow Ulimwengu255 kwa habari za zaidi (michezo na burudani)

Address

Mbezi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ulimwengu255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ulimwengu255:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share