
24/10/2024
Balenciaga imezindua Sneaker yake mpya ambayo inalenga kuonesha ujasiri imepewa jina la Reptile, bei ya $1,890 sawa Tsh Milioni 5 ikisukuma mipaka ya muundo wa viatu kwa mara nyingine tena.
Wewe jasiri wa Kitanzania unaweza kuvaa?