HMTMD Recap

HMTMD Recap Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HMTMD Recap, Digital creator, Dar es Salaam Street, Dar es Salaam.

KARIBU HMTMD Recaps 🎬πŸ”₯

HMTMD ni nyumba yako nambari moja ya simulizi za kusisimua, Movie Recaps, TV-Series, na burudani kali kwa lugha tamu ya Swahili (Kiswahili).

08/09/2026

07/09/2026

Rafiki wa Zamani... Adui wa Sasa!
Aang alidhani anamfufua shujaa mwenzake... kumbe ndiye adui hatari zaidi aliyewahi kutokea! 😱πŸ’₯

🎬 Tazama simulizi kamili ya Avatar Aang (2026) sasa hivi kwenye channel yetu ya HMTMD RECAPS!
https://www.youtube.com/watch?v=2_N3sCmvTLE

03/09/2026

kumbe ndiye adui hatari zaidi aliyewahi kutokea! 😱πŸ’₯🎬 Tazama simulizi kamili ya Avatar Aang (2026) sasa hivi kwenye channel yetu ya HMTMD RECAPS!https://www.youtube.com/watch?v=2_N3sCmvTLE

02/09/2026

Ryu na Ken Masters, machalii wa mtaani waliokuwa wametengana, wanajikuta wamerudi tena kwenye gemu ya ngumi za uso baada ya msichana mmoja wa ajabu, Chun-Li, kuwavuta kwenye mchongo wa World Warrior Tournament β€” bonge la msukosuko wa ngumi, hatua na mbwembwe za kufa mtu.
Ila nyuma ya huo mpambano wa hatari, kuna mchongo mchafu wa chini kwa chini unaowalazimu wagongane wenyewe kwa wenyewe huku wakipambana na majini ya zamani yanayowafuata.

30/08/2026

The Runner (2026)
Wakili mwenye ushawishi mkubwa anapaswa kukimbizana na wakati jijini London ili kumwokoa mwanaye aliyetekwa, huku akifuata maagizo ya kitendawili kutoka kwa aliyempigia simu asiyemjua.

30/08/2026

Resident Evil 2026
Mjumbe mmoja wa mzigo wa dawa (medical courier) anajipata kwenye vita nzito ya kufa na kupona dhidi ya majitu yaliyobadilika na kuwa madude ya ajabu yenye kiu hatari ya damu.

29/08/2026

Fall 2: Deadpoint
Two women find themselves in a desperate fight for survival when a mountain rock slide leaves them stranded on a fragile plank more than 3,000 feet in the air.

29/08/2026

29/08/2026

Katika mwaka 1831, mlipuko wa tishio la tauni ulisambaa kwa kasi barani Ulaya na kuua nusu ya idadi ya watu nchini Uingereza. Wakati Mfalme Richard II na viongozi wenye mamlaka wakiongeza kodi kandamizi kwa wananchi masikini zaidi, hasira za mkulima mmoja aliyekuwa akifukuta kwa uchungu zililipuka waziwazi. Katika siku chache tu, aliongoza uasi mkali huku maelfu ya wananchi wa kawaida wakipiga kura ya mguu kuelekea London kudai haki na Uhuru.

28/08/2026

Gemma, mama anayemlea binti yake katika nyumba aliyokulia, agundua kuwa ana uwezo wa kusafiri kwenda The Further (Ulimwengu wa Majini/Giza), ambako ana uwezo wa kuleta vitu vinavyoishi huko kuja kwenye ulimwengu wa kweli

Address

Dar Es Salaam Street
Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HMTMD Recap posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share