19/09/2026
Kila siku hua namshukuru MUNGU kwa kunipa zawadi ya mama mcha MUNGU kwangu inanipa faraja na nguvu ya kuendelea kupambana NAKUPENDA SANA MAMA SABATOπ₯Ήβ€οΈ
Bila kusahau kila jumamosi hapa Kisiniarestaurant Goba huna tuna treatment la kiVIP unaikosaje kwa mfano π