Darubini TV

Darubini TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Darubini TV, Media/News Company, Dar es Salaam.

15/08/2026

Kiumbe cha ajabu kionekana katikati ya barabara na kuzua taharuki. Je, hii ni kweli au ni mazingaombwe? Mambo ni mazito!

15/08/2026

Uchungu na simanzi vyatawala Arusha wakati wa mazishi ya kijana anayedaiwa kuuawa na askari. Vijana waliojitokeza wameeleza hisia zao na kuomba haki itendeke.

14/08/2026

๐Ÿšจ AUWAWA NA ASKARI KWA TUHUMA ZA KUWA JANGIRI NGORONGORO!

Kijana huyo amefunguka kuhusu tukio hilo na kueleza kinachodaiwa kutokea. ๐Ÿ˜ณ

๐Ÿ‘‰ Unafikiri ukweli wa jambo hili ni upi?
๐Ÿ“ฒ Fuatilia DarubiniTV kwa taarifa zaidi.

14/08/2026

Tazama mpangilio wa nyumba, lami mpaka mlangoni, na usafi wa mazingira ya kijijini nchini Marekani. Huku hakuna vumbi, hakuna shida ya miundombinu, na kila kitu kimepangwa kiustarabu!
Hivi changamoto yetu kubwa Afrika kutosogea hapa ni mifumo na mipango ya miji au ni kipato cha mwananchi mmoja mmoja?

14/08/2026

Hali ilivyokuwa nje ya Mahak**a wakati mvutano ulipoibuka kati ya Polisi na CHADEMA. โš–๏ธ๐Ÿ‘ฎโ€โ™‚๏ธ
Je, una maoni gani kuhusu hali hii ya ulinzi na utulivu maeneo ya mahak**a?
Like, Share na Acha maoni yako hapa chini! ๐Ÿ’ฌ๐Ÿ‘‡

13/08/2026

Hiki ndicho kilichompata akiwa Oman... simulizi inayotia huruma sana! ๐Ÿ’”"
Watu wengi huona picha za kurejea nyumbani, lakini wachache wanajua kilichojiri nyuma ya pazia. Binti huyu anafunguka kila kitu kuhusu maisha ya kazi za ndani nchini

13/08/2026

Tazama taharuki iliyotokea baada ya kukutwa chupa zaidi ya 2,000 za mikojo ndani kwa Mama Ntilie.
โ€‹Je, hii ni uchawi, au kuna sababu nyingine nyuma ya tukio hili la kushangaza?

13/08/2026

: Siku ambayo Mhandisi aliombwa "kusoma" alama muhimu wakati wa ziara ya ukaguzi. ๐Ÿ˜‚ Moment za kipekee k**a hizi hazisahauliki.

13/08/2026

: Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
Picha hii ya kumbukumbu (TBT) inamwonyesha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa ziara yake katika Gereza la Butimba mkoani Mwanza.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darubini TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share