Hanki news

Hanki news ENTERTAINMENT| NEWS

28/09/2026

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi, amezitaka Taasisi na Mashirika ya Umma kupunguza baadhi ya matumizi yasiyo ya lazima na kuelekeza fedha hizo katika kuwajengea uzoefu vijana wanaohitimu vyuo ili kuwaandaa kuingia kwenye soko la Ajira.

Akizungumza Septemba 28, 2026 katika Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) jijini Arusha, Ndejembi amesema kuna uwezekano wa kuwachukua vijana 10,000 na kuwapeleka kupata uzoefu wa kazi katika taasisi mbalimbali za umma ikiwemo TANESCO, TPA na TANROADS, kwa gharama inayokadiriwa kufikia shilingi bilioni 120.

Amesema fedha hizo zinaweza kupatikana endapo taasisi hizo zitapunguza matumizi kwenye maeneo k**a posho za vikao, safari na ziara za mafunzo nje ya nchi, badala ya kuendelea kutumia fedha nyingi kwenye matumizi hayo.

“ K**a tunaweza kulipana posho za vikao, safari, kwenda study tour nje na kadhalika, tukajikita na kupunguza spending yetu, tunaweza kupata bilioni 120 za kusaidia kuinua vijana wetu,” amesema Ndejembi.

Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz DSM, ZANZIBAR & PWANI na 90.5 Mhz DODOMA. Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM, Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415.

U23 AFCON QUALIFIERS 🇰🇪 4️⃣-1️⃣ 🇹🇿FT: Kenya 🇰🇪 4-1 🇹🇿 TanzaniaSheikhan Ibrahim
28/09/2026

U23 AFCON QUALIFIERS 🇰🇪 4️⃣-1️⃣ 🇹🇿

FT: Kenya 🇰🇪 4-1 🇹🇿 Tanzania

Sheikhan Ibrahim



Kikosi cha Timu ya Taifa U23 kilichoanza kwenye mchezo wa kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Kenya:1. Omary Gonzo (GK)2. Vedastu...
28/09/2026

Kikosi cha Timu ya Taifa U23 kilichoanza kwenye mchezo wa kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Kenya:

1. Omary Gonzo (GK)

2. Vedastus Masinde (C)

3. Twalib Nuru

4. Mohamed Ismail

5. Zidane Sereri

6. Ahmed Pipino

7. Abdukarim Kiswanya

8. Ibrahim Kazimoto

9. Bakari Msimu

10. Sheikhan Khamis

11. Anthony Mlugo

Kocha: Ahmad Ally

Mabadiliko: Said Abdalla, Ismail Omar, Sabri Kondo, Hijah Shamte, Said Naushad, Ally Msangi, Shabani Baragwi (GK).

📍 Nyayo Stadium, Kenya
🕒 28 Septemba 2026 | Saa 15:00 EAT

TANZIA TANZIAShabiki maarufu wa Klabu ya Yanga, Haji Omari Ramadhani Mpili “Mzee Mpili” amefariki dunia usiku wa kuamkia...
28/09/2026

TANZIA TANZIA

Shabiki maarufu wa Klabu ya Yanga, Haji Omari Ramadhani Mpili “Mzee Mpili” amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika eneo la Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.

Marehemu alikuwa miongoni mwa mashabiki waliotambulika zaidi wa Yanga kutokana na mapenzi yake makubwa kwa klabu hiyo na ushiriki wake katika shughuli mbalimbali za mashabiki.

Matokeo ya Ligi ya  ya  🔥
27/09/2026

Matokeo ya Ligi ya ya 🔥



Msimamo wa Ligi ya NBC Championship:
27/09/2026

Msimamo wa Ligi ya NBC Championship:

mancity  Rodri on reports of Man City being found guilty:🗣️ “I believe in the justice system and I believe in the innoce...
27/09/2026

mancity Rodri on reports of Man City being found guilty:

🗣️ “I believe in the justice system and I believe in the innocence of the club.”

🗣️ “What we did, they cannot take it out of us. It’s something that is not paid by money. It’s paid with effort, with partnership, with being shoulder to shoulder every day.”

🗣️ “I can only tell you that everything was deserved and I’m glad I could live one of the best eras of English football.”
[Beanyman Sports]

Once a Blue, always a Blue 💙🏆

mancity. Rodri kuhusu ripoti za Man City kupatikana na hatia:

🗣️ "Ninaamini katika mfumo wa haki na ninaamini katika kutokuwa na hatia kwa klabu."

🗣️ "Tulicho kifanya, hawawezi kutuchukulia. Ni kitu ambacho hakilipwi kwa pesa. Kinalipwa kwa juhudi, kwa ushirikiano, kwa kuwa bega kwa bega kila siku."

🗣️ "Naweza tu kukuambia kwamba kila kitu kilistahili na nina furaha kuweza kuishi moja ya nyakati bora zaidi za soka la Uingereza."
[Beanyman Sports]

Mara moja MwanaBlue, daima MwanaBlue 💙🏆

🚨 MAJOR BREAKING: Manchester City have been found guilty on almost all of the charges relating to breaches of the Premie...
26/09/2026

🚨 MAJOR BREAKING: Manchester City have been found guilty on almost all of the charges relating to breaches of the Premier League’s financial regulations. ⚠️

The sanctions have not been decided, with all possibilities remaining on the table, and City are expected to appeal.

City have been found guilty on all but one of the 115 charges, according to sources briefed on the matter who spoke anonymously as they were not authorised to do so publicly.

[]

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hanki news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share