Jkacpresenter

  • Home
  • Jkacpresenter

Jkacpresenter information and news

29/10/2024
16/11/2022

HT MTIBWA 2 COASTAL UNION 1

16/11/2022

12min, coastal Union Wana sawazisha goli,
Mtibwa 1 coastal 1,

16/11/2022

*mechi ya mtibwa sugar vs coastal Union, ni saa 8 mchana, na tayari mchezo umeanza, dkk 2 mtibwa wanapata goal..

16/11/2022

NBC PREMIER LEAGUE LEO NOV 16.
MTIBWA SUGAR VS COASTAL UNION, SAA 10 JIONI UWANJA WA MANUNGU
2.TANZANIA PRISONS VS GEITA GOLD, SAA 10 JIONI UWANJA WA SOKOINE
3.SIMBA SC VS NAMUNGO, SAA 1 USIKU UWANJA WA BENJAMINI MKAPA..


KWA TAARIFA ZA KIMICHEZO, MATOKEO YA NBC PREMIER LEAGE, USISITE KULIKE PAGE HII YA AMA . 🤝

09/07/2022

Mke: mme wangu et hujui kingereza?
Mme: who tolded you those says?
Mke: Duuh basi yameisha🤔
,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KWA SHORT STORY ZA VICHEKESHO TAFADHALI LIKE NA SHARE PAGE HII...

...ebana eee kwa mastori ya kuchekesha fanya kulike page ya Jkacpresenter
08/10/2021

...ebana eee kwa mastori ya kuchekesha fanya kulike page ya Jkacpresenter

16/04/2021

NuKUU YA LEO
ukimuona mtu yuko busy na kazi ukajua anauchungu na maisha, hapana mwingine anatafuta pesa akalewe,😄😄😄

09/04/2021

EBANAA TEMBEA NAYO HII... Yaani Bange Bwana ... Jamaa walikuwa wanavuta. Bange. ...
Mara Moto ukazimika... Wakamtuma Mmoja wao akaombe Moto.. Akazunguka wee akawakuta Washikaji wamekaa.... Akawaulza... Oyaaa Maseela mna moto🔥 tukaliwashe hukooo.. Wakamjibu hv...hata sisi kuna mtu tumemtuma akaletee.. 🔥. ..Kaa hapa usubili anakuja.. Kumbe ndo Wenzake alokuwa nao...Bange imewachanganya hadi hawatambuani..!!!!

02/04/2021

ISHI NAYO HIYOOOOO,,,
Ex wangu popote ulipo naomba ujue tu kwamba nimenunua gari, sasa jifanye hujui kuvuka kwenye zebra tusije kuonana wabaya bureeeee

😂😂😂😂😂😂😂😂

Ebana asikwambie mtu kuhusu hela, mkwanja ni kitu kingine bna,FANYA KULIKE PAGE NA KUSHARE KWA HABARI ZA VICHEKESHO DAAA...
07/03/2021

Ebana asikwambie mtu kuhusu hela, mkwanja ni kitu kingine bna,
FANYA KULIKE PAGE NA KUSHARE KWA HABARI ZA VICHEKESHO DAAA HAPA UTAVUNJA MBAVU MPAKA ZIWE CHENGA

Address


Telephone

+255764550949

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jkacpresenter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share