27/09/2026
Somo Kubwa Kuhusu Mauzo Nililojifunza Kwa Muimba Muziki Niliyemuona Bustanini---Karibu Na Posta Ya Zamani...
..Ilikuwa Ijumaa ya Tarehe 25/09
Mida k**a ya Saa 11 Na Dkk 05 Nilifika Maeneo ya Posta Ya Zamani(Pale Garden)
By The Way...
Kwenye Ile Garden Kukaa ni BURE Na Kuna Taasisi wanazingatia Utunzaji wa Garden
Inshort...
Ile Garden Watumishi Wa Umma na Wanachuo Wa IFM Ndio Huwa wanajazana Kibao Kutoa Stress
Binafsi Huwa nakatiza Maeneo Hayo Kuchapa Content za Kupost Mitandaoni
Mara nyingi Huwa naenda yale maeneo siku za Ijumaa na Jumapili ili Kupunga Upepo(Ku-refresh)
Basi Bhana...
Siku hiyo nikakutana na Surprise 😮
Nikakuta Kijana wa Kiume Kwa Makadirio anaweza akawa ana Miaka 27
Amevaa...
Miwani
T-Shirt Nyeusi
Jeans Ya Blue
Alafu...
Alikuwa Ameset...
Microphone(Kipaza Sauti)
Speaker Ndogo
Mixer
Stand ya Mic
Pamoja na...
Camera ya Simu Ambayo Inamrekodi
Then...
Akawa anaimba Pale...
Style yake ya Uimbaji Ilinikosha Sana...
..Kwasababu alikuwa anaimba Miziki ya Taratibu
Bila Kujua Alikuwa anafanya Kitu kinaitwa Music Therapy Kwa Watumishi Wa Umma(nikiwemo na Mimi 😂)
Sasa...
Akatoa Tangazo Kwa Kusema Kwamba:
"Yeyote anayetaka Wimbo Fulani Amcheki Ataufanya Basically For FREE(Atafanya Wimbo BURE)"
Baada ya Hapo...
Akaendelea Kuimba...
Huwezi Kuamini Aisee watu walijaa Pale Kumsikiliza Yaani Mpaka Watu Wazima
Embu Piga Picha...
Wamama Watu Wazima Nao Wamekaa Wanamsikiliza Akiimba
Vipi Kuhusu Wadada?...
Hapo ndio Usiseme Kuna Waliokuwa hadi Wanachukua Video Fupi
Sasa:
Kitu pekee kilichoniacha Mdomo wazi Ni Hiki Litu Kimoja
"Kuna Baadhi ya Wabongo Wakaanza Kuamka Wakampa HELA"
Umeoana Hata Wewe Ulivyoshtuka 😂🫵🏾
Sasa...
Umeona Wewe Ulivyoshtuka Mi Nilishtuka Mara Mbili Yake
Yaani...
Vitu ambavyo nimezoea Kuviona Kwenye Mitandao K**a Tiktok,Instagram
..Tena Nje Ya Nchi Leo Bongo Kinafanyika Tena Live
Hii Ni Maajabu(I Maasai Voice😂)
Anyways...
Kuna Mambo K**a Mawili Nilijifunza Kutokana na Lile Tukio
#1:Ukionyesha Kuwajali Wateja wako Kwa Kuwapa Uthamani Kwanza Bila Kulipa Trust Me...Utakuwa Mbele ya Watu Wengi
Disclamer: Njoo Uchukue Ushauri wa BURE Kuhusu Kuanza Kujifunza Ujuzi wa Copywriting Skills
Tuma Neno "Copy"
#2:Ukiangalia Ukuaji wa Teknolojia Unavyoongezeka Ndivyo Upweke na Sonona Vinavyoongezeka...
..Yeyote ambaye atakuwa na Uwezo Wa Kuandaa Event za Kuwakutanisha Watu Ili Wafurahie Maisha kwa Pamoja Nje ya Mitandao ya Kijamii
Trust Me Huyu Mtu atapiga Hela Vibaya Mno
Kitu Kingine...
Huko Tunakoelekea Therapists na Psychologists Watakula Mchuzi Vibaya Mno
Ni Hayo Tu Niliyojifunza Kwenye Hiyo Occasion
Una Swali?...
Uliza Nitakujibu Ikibidi Hapa Hapa Kwenye Group Itakuwa Bomba Sana ili na Wengine Wajifunze
Still Here?
Congratulations
See You Next Time