16/07/2025
Comment âAI SYSTEMâ nikutumia More Info DM!
Watu wengi saiv wanadhan kuwa wakiongea kuhusu huduma/bidhaa zao kila saa na kukaa mtandaoni mchana na usiku, basi wateja watakujaâlakini hiyo sio kweli kabisa.
Last few Months nilikuwa nafanya kazi kila wakati, hadi nikasahau kula vizuri, kufanya mazoezi, na hata kuongea na familia yanguânilikuwa nimechoka sana.
(Dada angu ndo ndo alikuwa anambia âMama ako anakutafuta simu yako umeiweka wapi?â)đ
Sasa recently nikaanza kutumia AI kunisaidia kutengeneza content za biashara, na mambo yakaanza kubadilika fasta.
Saiv, natumia siku moja kupanga content ya wiki nzima na sometimes 2 weeks, na muda mwingi nabaki kusoma vitabu, kuuza, na kucheka na familia yangu.
Watu wengi wanaogopa AI kwa sababu wanafikiri itaharibu biashara zao, wengine wanatumia tu k**a vipofuâlakini hawajui kuwa inaweza kuwasaidia hata zaidi k**a wakielewa kuitumia Vizuri!
Kwa kutumia AI, unaweza kupata wateja bila kutumia hata pesa nyingi kwenye Ads, bila kupoteza muda na wateja wasiokuwa Serious, na bila kuongea na kila mtu mmoja mmoja.
Na sasa nafundisha wamiliki wa biashara jinsi ya kuimplement AI kwaoâili waishi maisha bora, sio kazi tu kila saa k**a Mchawi!