
06/06/2025
🚨
Gwajima yuko salama na hajak**atwa, licha ya uvumi uliosambaa baada ya serikali kufuta usajili wa kanisa lake, Ufufuo na Uzima, kwa madai ya kuhubiri kinyume na sheria na kuchochea umma dhidi ya serikali.
Polisi walizingira kanisa lake Ubungo kuanzia Juni 2, na waumini wamekuwa wakikusanyika nje wakisubiri taarifa zaidi, huku viongozi wa makanisa mengine wakilaani hatua hiyo k**a ukandamizaji wa uhuru wa kidini.
🚨Wanasheria wake wamesema tayari wanaandaa hatua za kisheria kupinga uamuzi huo wa serikali.