03/10/2025
Alichoandika Msemaji wa Yanga Ally Kamwe kuhusu KOCHA MPYA wa Simba kutambulishwa k**a Meneja.
"Jamaa wamekurupuka sana, Leo jioni moto uliwaka sana ofisini sema ndio ikawa Too Late, washalipa hela nyingi sana. Wamempaka Mkataba Mzungu bila kukagua vyeti vyake, mwisho hapa ndio wamegundua hana sifa za kuwa KOCHA MKUU... Mwenyekiti wa Bodi kuua Soo, akamwambia CEO we angalia jinsi ya kuficha hii aibua. Ndio wakasema Tumpe cheo cha MENEJA MKUU ili awe anakaa pale benchi lakini hana sifa za kuwa kocha, Yaani ni k**a Kwetu huko alivyo yule .. Ndio cheo cha huyu mzungu. Yaani kwa kifupi jamaa wamelipa hela nyingi kwa Kocha wa Mazoezini, sio kwenye Mechi"
Jasusi wetu ananimwagia vitu vizito huku DM
Kwa taarifa zaidi tembelea 📺 yetu ya , usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-share.