Dây Chà Lưng 70

Dây Chà Lưng 70 Story Check ✅ Ukurasa maalum wa Kuhakiki Habari, Matukio na mambo mbalimbali Yanayotokea Ulimwenguni.

10/05/2026

leo tumekutana na Comedian amefunguka.

Follow
Follow

07/05/2026
07/05/2026

Bajaj imeona ijiendeee tu😃

Inasemekana hiki kibomba kina Siri sanaNi Siri gani?
06/05/2026

Inasemekana hiki kibomba kina Siri sana
Ni Siri gani?

05/05/2026

Mjomba hassan Anatudharirisha huku

Eti hii ni ya kazi gani?
05/05/2026

Eti hii ni ya kazi gani?

NYUMBANI KWA Wema SepetuMASTAA WAENDA MSIBANI KWA MANUNU KUTOA POLEMastaa mbalimbali wameanza kukusanyika nyumbani kwa W...
04/05/2026

NYUMBANI KWA Wema Sepetu
MASTAA WAENDA MSIBANI KWA MANUNU KUTOA POLE

Mastaa mbalimbali wameanza kukusanyika nyumbani kwa Wema Sepetu kufuatia kifo cha mbwa wake maarufu Manunu, ambaye amekufa leo.

Baadhi ya mastaa waliowahi kufika kutoa pole ni pamoja na Shamsa Ford na Dully Sykes, huku wengine wakiendelea kumiminika nyumbani hapo kwa ajili ya kumpa faraja katika kipindi hiki kigumu.

Aidha, mpenzi wa Wema naye alikuwepo nyumbani hapo akimfariji, huku hali ya huzuni ikitawala kutokana na ukaribu mkubwa uliokuwepo kati ya Wema na mbwa wake Manunu.

Mbwa maarufu wa muigizaji Wema Sepetu, anayejulikana kwa jina la Manunu, kufariki dunia, tukio lililogusa hisia za masha...
04/05/2026

Mbwa maarufu wa muigizaji Wema Sepetu, anayejulikana kwa jina la Manunu, kufariki dunia, tukio lililogusa hisia za mashabiki wengi mitandaoni.

Address

Dar Es Salaam
1441

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dây Chà Lưng 70 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share