MedMax Music

MedMax Music The Official Page for Quality Music production!

Bringing you top-notch music production,
Mixing & Mastering, Artist collaboration,
and music distribution!

📩 For business inquiries:
[email protected]
[email protected]
📍 Location: Tanzania

07/07/2025

We ni msanii? DJ? Au unapenda vibes kali tu?
Beats kali zaidi zipo Mdundo – BURE kabisa!🔥

Afrobeat, Singeli, RnB, Kompa, Trap – zote zimetengenezwa kwa ustadi na 🔊 Prod Medmize kutoka MedMax Music.

👇 Bonyeza hapa kupakua sasa: 🔗 https://mdundo.com/a/362747

👉 Pakua, share... na unisaidie kufika 50K downloads!

Hey familia!Nimezindua YouTube channel mpya kabisa inayoitwa HarmoniK Covers – mahali pa kupata beautiful, emotional & u...
17/04/2025

Hey familia!
Nimezindua YouTube channel mpya kabisa inayoitwa HarmoniK Covers – mahali pa kupata beautiful, emotional & unique music covers zilizotengenezwa kwa moyo.

Naomba support yako – subscribe kwenye channel hii kupitia link hii:

https://youtu.be/mUh8CTcj5zQ

Kila like, comment, na subscription yako inatupa nguvu ya kuendelea kuleta content bora zaidi.
Let’s grow together – one harmony at a time!

Nūr al-Dunyā (The Light of the World) is a spiritual Arabic nasheed dedicated to the Beloved Prophet Muhammad (S.A.W). This heartfelt qasida blends deep love...

Hey familia!Nimezindua YouTube channel mpya kabisa inayoitwa HarmoniK Covers – mahali pa kupata beautiful, emotional & u...
13/04/2025

Hey familia!
Nimezindua YouTube channel mpya kabisa inayoitwa HarmoniK Covers – mahali pa kupata beautiful, emotional & unique music covers zilizotengenezwa kwa moyo.

Naomba support yako – subscribe kwenye channel hii kupitia link hii:
https://youtube.com/

Kila like, comment, na subscription yako inatupa nguvu ya kuendelea kuleta content bora zaidi.
Let’s grow together – one harmony at a time!

MWANGA BAADA YA GIZA Episode 1 | Hadithi Fupi ya Upendo, Maumivu na Matumaini,https://youtu.be/HXRNbvLzCicMwangaza wa ba...
27/02/2025

MWANGA BAADA YA GIZA Episode 1 | Hadithi Fupi ya Upendo, Maumivu na Matumaini,
https://youtu.be/HXRNbvLzCic

Mwangaza wa baridi wa mwezi ulikuwa unapenya kwenye madirisha ya chumba cha Adrian. Usiku huu ulikuwa mzito, kimya, na wenye kumbukumbu zilizomuumiza moyo wake. Miaka miwili ilikuwa imepita tangu kifo cha Amina, mpenzi wake wa dhati, lakini maumivu yake yalikuwa bado mabichi k**a jana.

Hakukuwa na siku aliyopita bila kusikia sauti ya Amina akimuita kichwani mwake, au bila kuhisi uwepo wake kwenye upepo wa usiku. Alikuwa amekubali kuwa alimpoteza, lakini usiku huu ulikuwa tofauti.

Adrian alipata ujumbe kwenye simu yake – namba isiyojulikana. Maneno yalikuwa machache: "Ukumbuke ahadi yetu. Usiku wa mwisho haukuwa mwisho wa hadithi yetu." Alitetemeka, hakuweza kuelewa maana yake. Je, ni mchezo wa akili au kweli kulikuwa na jambo zaidi ya alichojua?

Akivutwa na msukumo wa ndani, alifuata alama zilizomwongoza hadi mahali walipopenda kwenda yeye na Amina—daraja lililokuwa limejaa taa za joto usiku wa manane. Moyoni mwake, hakuamini macho yake alipomuona msichana aliyefanana kabisa na Amina, akiwa amesimama kando ya mto, macho yake yakiangaza huzuni na matumaini.

"Ulisema hutaniacha…" sauti iliyojaa mchanganyiko wa maumivu na furaha ilitoka midomoni mwa Adrian. Msichana huyo aligeuka, machozi yakibubujika.

"Sikuwahi kuondoka, Adrian. Nilikuwa mahali ambapo singeweza kurudi. Lakini sasa... nipo hapa."

Mwanga wa alfajiri ulianza kuchomoza, ukifuta giza lililokuwa limemfunika Adrian kwa miaka miwili. Moyoni mwake, alihisi kuwa kila kilichotokea kilikuwa na sababu, na hii ilikuwa mwanzo wa safari mpya....... Itaendelea

MWANGA BAADA YA GIZA ni hadithi fupi inayogusa moyo kuhusu Adrian, kijana aliyejaa maumivu baada ya kupoteza mpenzi wake, Amina. Miaka miwili baada ya kifo c...

https://youtu.be/HXRNbvLzCicMWANGA BAADA YA GIZA Episode 1 | Hadithi Fupi ya Upendo, Maumivu na Matumaini
26/02/2025

https://youtu.be/HXRNbvLzCic

MWANGA BAADA YA GIZA Episode 1 | Hadithi Fupi ya Upendo, Maumivu na Matumaini

MWANGA BAADA YA GIZA ni hadithi fupi inayogusa moyo kuhusu Adrian, kijana aliyejaa maumivu baada ya kupoteza mpenzi wake, Amina. Miaka miwili baada ya kifo c...

Mduara Beat - The Ultimate Swahili Vibe |  Prod Medmize Tz
11/02/2025

Mduara Beat - The Ultimate Swahili Vibe | Prod Medmize Tz

MedMax Music

Bongo Singeli Groove | Dance Beat of the Year 2024 | Beat mpya 2024 | Prod Medmize
10/02/2025

Bongo Singeli Groove | Dance Beat of the Year 2024 | Beat mpya 2024 | Prod Medmize

Step into 2024 with the ultimate Bongo Singeli Groove – the Dance Beat of the Year! 🔥 Packed with energetic beats and irresistible rhythms...

Calm RnB Trap Beat 2024 | Emotional & Relaxing Instrumental | Prod Medmize Tz
10/02/2025

Calm RnB Trap Beat 2024 | Emotional & Relaxing Instrumental | Prod Medmize Tz

Relax and vibe to this calm RnB Trap beat perfect for emotional storytelling or chill moments. Available for non-profit use – contact for ex...

Kikongwe Zouk Beat | Smooth & Groovy Instrumental 2024 | Perfect for Vocals | Prod Medmize
10/02/2025

Kikongwe Zouk Beat | Smooth & Groovy Instrumental 2024 | Perfect for Vocals | Prod Medmize

Welcome to this smooth and groovy Zouk instrumental titled "Kikongwe. This beat brings tropical vibes and rhythmic grooves perfect for RnB,...

Free Hip-Hop Swag Beat 2024 | Hard Trap Type Beat | Prod. Medmize
10/02/2025

Free Hip-Hop Swag Beat 2024 | Hard Trap Type Beat | Prod. Medmize

🔥This is a dope hip-hop beat with swag vibes and 2024 energy! Perfect for rappers, freestyles, and trap music lovers. 🎤 ➡ Tempo: [94] © 2...

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MedMax Music posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MedMax Music:

Share