Khalfan Mgeni.

Khalfan Mgeni. Miti shamba ndio hazina yetu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ Fanya maamuzi leo ili kesho uje kuishi kama mfalme๐ŸŒโ˜ช๏ธ๐Ÿƒ๐ŸŒณ๐Ÿฅ€

Upweke ni zaidi ya sumu kali inayotafuna uhai wa binadamu. Kubali kuchanganyika na watu huwenda ukasikia hata neno dogo ...
26/02/2026

Upweke ni zaidi ya sumu kali inayotafuna uhai wa binadamu. Kubali kuchanganyika na watu huwenda ukasikia hata neno dogo tu la tumaini kutoka kwenye kinywa cha mtu usiemtarajia. Maisha bila watu ni sawa na mwili bila uhai.

Group 0 au wenye M KIGANJANI naimani kabisa tabia hii nyinyi amna Au ninayo pekeangu AU ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…1.sijawahi kuumia kwenye mapen...
25/02/2026

Group 0 au wenye M KIGANJANI naimani kabisa tabia hii nyinyi amna Au ninayo pekeangu AU ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…

1.sijawahi kuumia kwenye mapenzi hata kidogo ila nikikosa hela haki ya mungu moyo unaniuma mpaka napataga homa ๐Ÿ˜‚

2.yaani kuna mtu anaweza kukataliwa na watu wote ila group O+ NA wenye alama M pekee ndo akamkubali ila sie jamani huruma huwa inatuponza
AU NI MIMI UENDA NAZEEKA ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

3.group O+ wenye alama M kwahiyo kuongea na jilani ni asubuhi tu unapomsalimia mpaka kesho utapomsalimia tena AU NI MIMI TU NA KUJISIKIA KWANGU ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

4.na Yuko tayari alale ndani siku nzima kisa tu Kuna watu wako njee apo
na kingine Akikusalimia mala ya kwanza usipomjibu hatokuja kukusalimia tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

5.na group O wenye alama M sisi tukikopesha atulipwi Alaf hatujui kudai ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tupo tayari kubadilisha njia ila hatupiti sehem yenye watu wengi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

6tunaenda kujifungia ndan hatupendi kelele hatupendi watu watutembelee hatupendi kumsalimia watu ila tuna huluma sana ๐Ÿ˜… kiburi na jeuri ni k**a dada na kaka ๐Ÿ˜…

tena wepesi sana kusaidia na tuna huruma upendo na hatuna bahati tunaishia kumizwa na tuliowamini ๐Ÿฅบ

Address

Vikindu
Dar Es Salaam

Telephone

+255676835816

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Khalfan Mgeni. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Khalfan Mgeni.:

Share