24/03/2025
📌 Kila mwezi, kuna watu wanapokea bonasi ya 500K hadi 5M kutoka kwenye biashara hii… Wakati huo huo, wengine wanakaa wakijiuliza k**a fursa hii inafanya kazi!
Siku Aliyochoka Kusubiri Kuongezewa Mshahara
Kelvin alikuwa kazini k**a kawaida, akifuatilia mshahara wake.
Mwezi huu alikuwa na matumaini makubwa—aliambiwa kuna uwezekano wa kuongezewa mshahara.
Saa 9 alasiri, HR akatuma email:
"Tunaomba radhi, bajeti haijaruhusu nyongeza ya mshahara kwa sasa. Endelea na juhudi zako nzuri!"
Kelvin alisoma email hiyo mara mbili, halafu akashusha pumzi nzito.
Miaka mitatu kazini, anafanya kazi kwa bidii, lakini mshahara bado ni ule ule.
Ndoto zake zilikuwa kubwa—alitaka kuhamia nyumba nzuri, kuwekeza, na kusaidia familia yake.
Lakini kwa mshahara wa sasa, hakukuwa na uwezekano wa kubadilisha maisha yake haraka.
Halafu Akagundua Siri Ambayo HR Hawezi Kukuambia
Wiki moja baadaye, alikutana na rafiki yake, James, ambaye alikuwa na tabasamu kubwa.
"Bro, nimepokea bonasi yangu leo," James alisema.
Kelvin alidhani anazungumzia mshahara wa kampuni.
Lakini James akasema, "Hapana, hii ni bonasi kutoka kwenye biashara yangu ya pili. 2.3M ndani ya mwezi mmoja!"
Kelvin alishangaa.
"Unapataje pesa ya ziada wakati wote tunafanya kazi muda sawa?"
James akatabasamu na kusema:
"Nimetumia mfumo wa kisasa wa Attraction Marketing. Huu ni mfumo unaoleta wateja na washirika wenyewe bila kusumbua mtu yeyote. Nimejifunza jinsi ya kutengeneza kipato cha pili hata nikiwa kazini."
Siku Ambayo Kelvin Aliamua Kubadilika
Baada ya mazungumzo yale, Kelvin alitafuta kujua zaidi.
Aligundua kuwa mfumo huu si watu wachache tu wanafaidika nao—lakini ni wale wanaochukua hatua.
✅ Huhitaji kuacha kazi yako ya sasa.
✅ Huhitaji kuwa na followers wengi.
✅ Hata k**a hujawahi kufanya biashara kabla, kuna mfumo tayari unafanya kazi kwa ajili yako.
Leo, Kelvin si mtu yule yule.
Sasa, kila mwisho wa mwezi anapata mshahara wake PLUS bonasi ya biashara yake ya pili!
Swali ni moja tu: Wewe utaendelea kusubiri mshahara, au utajifunza jinsi ya kupata bonasi yako?
💬 Comment "BONASI" au ni-DM nikupe maelezo yote jinsi unavyoweza kuanza leo!