Mwanachuofamily

Mwanachuofamily Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwanachuofamily, Digital creator, Dar es Salaam.
(2)

Tanzania Leading Universities Platform �
‣ Education � ◙ Inspiration ◙ Events
‣ All Updates ◙ Infos ◙ Interviews
Tufollow Instagram k**a

Nendeni mkaishi mbali na Mkeo na ikitokea anatakiwa aende nyumbani basi hakikisha hakai siku nyingi
30/12/2025

Nendeni mkaishi mbali na Mkeo na ikitokea anatakiwa aende nyumbani basi hakikisha hakai siku nyingi

29/12/2025

Wanaume Mseme mnataka nini 😅

29/12/2025

Ila Watoto wa Mabibo 😂😂🙌

29/12/2025

Sikiliza Mpaka mwisho alafu sema neno..!! 👀

🎥:

Hii ya Kutunga hakuna  Mwanachuo mjinga wa hivi 😂😂💔💔Michezo 🤣🤣🤣
26/12/2025

Hii ya Kutunga hakuna Mwanachuo mjinga wa hivi 😂😂💔💔

Michezo 🤣🤣🤣

25/12/2025

Watu wanapitia Mengi jamani 🙌😢

Huyu anayerekodi badala amsaidie naye anaropoka Daaahh 💔💔

Yeyote mwenye kuweza kumsaidia huyu Aje DM 🙏
25/12/2025

Yeyote mwenye kuweza kumsaidia huyu Aje DM 🙏

Boyfriend wako atasema hii ni AI 😂😂😂
25/12/2025

Boyfriend wako atasema hii ni AI 😂😂😂

Kuna faida nyingi binadamu hupatakutokana na kucheka, mfano kuondoa msongo wamawazo, kupata furaha na kuongeza kinga mwi...
24/12/2025

Kuna faida nyingi binadamu hupata
kutokana na kucheka, mfano kuondoa msongo wa
mawazo, kupata furaha na kuongeza kinga mwilini.

Mbali na faida za kucheka, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kucheka kupita kiasi kupelekea mtu kokosa
hewa, kuzimia, kupata shambulio la moyo (Heart Attack), moyo kusimama kufanya kazi (Cardiac Arrest) na mara kadhaa hupelekea kifo.

Hawa ni baadhi ya watu ambao wamefariki kutokana na kucheka kupita kiasi 👇

Mwaka 1920 Arthur Cobcroft kutoka Australia akiwa anasoma gazeti alikutana na habari ya kuchekesha, akacheka sana mpaka akafariki.

Karne ya 5 kabla ya Yesu kuzaliwa Mchoraji Maarufu Nchini Ugiriki "Zeuxis" baada ya kuchora picha ya Bibi kizee aliangalia picha hiyo kisha akacheka sana mpaka akafariki.

Machi 24, 1975 Alex Mitchell kutoka Uingereza alikuwa anaangalia filamu, baada ya kufika kipande cha ucheshi alicheka kwa muda wa dakika 25, Moyo wake ukafeli kisha akafariki.

Inashauriwa unapotazama meme, filamu za ucheshi, au unapohudhuria "Stand Up Comedy Shows" basi usicheke kupita kiasi, maana unaweza kukosa hewa, ukazimia, Moyo wako ukashindwa kufanya kazi, na hata kupoteza maisha.

Powered by

Tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa wanaume wanaokimbia kwa umbali mrefu kila siku wanaweza kuwa na viwango vya chi...
24/12/2025

Tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa wanaume wanaokimbia kwa umbali mrefu kila siku wanaweza kuwa na viwango vya chini vya homoni ya testosterone ikilinganishwa na wale wasiofanya mazoezi kupita kiasi. Ripoti nyingi zinataja upungufu wa takribani asilimia 41, hasa kwa wakimbiaji wa mbio za uvumilivu wanaofanya mazoezi makali bila muda wa kutosha wa kupumzika.

Hali hii imekuwa ikichunguzwa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, ambapo wataalamu wa homoni za michezo walilibua kinachojulikana k**a Exercise Hypogonadal Male Condition, ambapo chini ya msongo wa mawazo, mwili hubadilika kwa kuhifadhi nishati, hivyo kupunguza uzalishaji wa testosterone ili kuzingatia uhai na uvumilivu badala ya ukuaji wa misuli au uzazi.

Utafiti uliochapishwa kati ya 2010 na 2023 unaonyesha athari hii hujitokeza zaidi kwa wanaume wanaokimbia umbali mrefu kila wiki bila mapumziko ya kutosha au ulaji wa kalori unaolingana na mazoezi. Watafiti wanasema hali hii si sawa na upungufu wa kitabibu wa testosterone, na viwango mara nyingi hurudi kawaida pale mzigo wa mazoezi unapopunguzwa au urejeshaji unapoboreshwa.

Matokeo haya hayamaanishi kuwa kukimbia ni hatari, bali yanaonyesha namna mwili unavyojibu kwa busara msongo wa kudumu, hata pale msongo huo unatokana na shughuli zinazochukuliwa kuwa na manufaa kiafya.

Wataalamu wanabainisha kuwa wakati mwingine afya ya juu ya mwili na viwango vya juu vya homoni havifuatilii lengo moja.

Source: 𝑱𝒐𝒖𝒓𝒏𝒂𝒍 𝒐𝒇 𝑪𝒍𝒊𝒏𝒊𝒄𝒂𝒍 𝑬𝒏𝒅𝒐𝒄𝒓𝒊𝒏𝒐𝒍𝒐𝒈𝒚 𝒂𝒏𝒅 𝑴𝒆𝒕𝒂𝒃𝒐𝒍𝒊𝒔𝒎, 𝑩𝒓𝒊𝒕𝒊𝒔𝒉 𝑱𝒐𝒖𝒓𝒏𝒂𝒍 𝒐𝒇 𝑺𝒑𝒐𝒓𝒕𝒔 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒄𝒊𝒏𝒆

Powered by

Wenzake wameweza kulipa lakini yeye Kashindwa hivyo kapelekwa Gerezani.Mna Cha kusema?!!! 🤔
22/12/2025

Wenzake wameweza kulipa lakini yeye Kashindwa hivyo kapelekwa Gerezani.

Mna Cha kusema?!!! 🤔

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanachuofamily posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share