Jay once again

06/11/2025

Mapoz

Good Morning my Good People, Usiku Wako Umekuwa Aje?
06/11/2025

Good Morning my Good People, Usiku Wako Umekuwa Aje?

Siku yako imekuwa aje ?
05/11/2025

Siku yako imekuwa aje ?

05/11/2025

Wangapi walipenda sana huu wimbo?

Napenda kutoa pole zangu za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao wiki hii kwa sababu ya vurugu au...
04/11/2025

Napenda kutoa pole zangu za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao wiki hii kwa sababu ya vurugu au hali ngumu wakati wa kipindi cha uchaguzi.

K**a Mtanzania na msanii, najua thamani ya amani, upendo, na utu. Ni huzuni kubwa kuona maisha yanapotea kwa sababu ya tofauti za kisiasa. Leo, nasimama pamoja na familia zote zilizoathirika, na naomba kwa moyo wa dhati: tuendelee kuhimiza utulivu, maelewano, na heshima kwa maisha ya kila Mtanzania.

Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi. 🙏🏽
Amani iwe juu ya Tanzania. 🇹🇿🕊️

Nawatakia siku njema na yenye baraka tele❤
04/11/2025

Nawatakia siku njema na yenye baraka tele❤

03/11/2025

Tilalilaaa🎵

Good Morning my good people. Nawatakia Jumapili njema nyote, Mungu awalinde ❤❤
02/11/2025

Good Morning my good people. Nawatakia Jumapili njema nyote, Mungu awalinde ❤❤

02/11/2025

Wangapi wanaipenda huu wimbo?

Kikubwa kwa Maisha ni Amani. K**a Una Amani Moyoni Kwako Weka❤
01/11/2025

Kikubwa kwa Maisha ni Amani. K**a Una Amani Moyoni Kwako Weka❤

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jay once again posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share